Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Aisee...nimekaa nimefikiria nimegundua sehemu nyingi nimezijua kwasababu ya michuchu
Teh teh mzee Nyani Ngabu nakukatalia bwana 40 40 sio kiwanja cha mchezo mchezo bwana... Labda ni lini mara ya mwisho umehudhuria pale
Nilikuwepo hapo weekend iliopita...sio kama mnavyopaisha humu.Teh teh mzee Nyani Ngabu nakukatalia bwana 40 40 sio kiwanja cha mchezo mchezo bwana... Labda ni lini mara ya mwisho umehudhuria pale
Cruise is grrrweat!! I did the Bahamas last summer.
Sijawahi kosa pale weekend yoyote na hapajawahi kupwaya sasa sijajua wewe unakupa pamepoa vipiMwaka huu nimeenda mara mbili!
Hamna kitu hapo.
Ha ha haSame here!
Sidhani kama kuna kona ya Dar ambayo sijaigusa kwa sababu ya wachuchu!
Nimewekeza katika wilaya zote za Dar!
Kama tabata.. [emoji23][emoji23]Waaaaay overrated.
Ntaenda tu kama nikipata mchuchu mpya!
Mbele ya mchuchu mpya popote ntaenda! Hata iwe Mabwepande teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Same here!
Sidhani kama kuna kona ya Dar ambayo sijaigusa kwa sababu ya wachuchu!
Nimewekeza katika wilaya zote za Dar!
Naondoka Liquid. Pazuri kwa kweli. Lily na dadake wamejitahidiNilikuwepo hapo weekend iliopita...sio kama mnavyopaisha humu.
Sasa na wewe unawahi Bar kama kanisani! Nitamalizia hapo leo on my way homeNaondoka Liquid. Pazuri kwa kweli. Lily na dadake wamejitahidi
Katika Watu Wooote We Ndio Umeongea La Maana SanaNjoo kwangu tupike
Naona unaanzia mbali....kwahio na wewe unataka kwenda kupika?Katika Watu Wooote We Ndio Umeongea La Maana Sana
Kama tabata.. [emoji23][emoji23]
Hahaahahaaaa. Baki DarTabata yote nadhani nshaimaliza.
Si unajua zipo Tabata nyingi nyingi....sijui Tabata Bima...Tabata Segerea...Tabata Relini....kote huko nshapita.
Kinyerezi huko nako tayari.
Kuna sehemu inaitwa Kinyantira sijui....huko nako tayari.
Pugu nako nshawekeza. Msanga huko nako tayari.
Bunju nilishagawekeza siku nyingi sana.
Sasa nataka nihamie Nyegezi, Mwanza huko.
Hahaahahaaaa. Baki Dar
Idiot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unaanzia mbali....kwahio na wewe unataka kwenda kupika?
Baki hukuEti eeh?? Haya ngoja nibaki tu Dar...
Naondoka Liquid. Pazuri kwa kweli. Lily na dadake wamejitahidi
Hahahahahahahahahahahahahahaha Mseeeee KwelikweliNaona unaanzia mbali....kwahio na wewe unataka kwenda kupika?