Jamani leo yamenikuta mwenzenu

Jamani leo yamenikuta mwenzenu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
STUNTER :mambo cute?

Girl: poa tu..

STUNTER: nimependa picha zako unavutia..

Girl:thanks my dear..

STUNTER: nimevutiwa na wewe naomba tuwasiliane..

Girl:usijali tupo pamoja..

STUNTER: naweza kupata namba yako ya simu?

Girl: yap 099785120208

STUNTER: eheee..hiyo namba ya kimataifa?

Girl: ni account yangu ya bank, tuma pesa kwanza
huko coz nina namba za boys kibao hawana pesa... i love u baby boy.
 
HUYO ANGEKUWA KANIWEZA...TOFAUTI NA ANAYEPIGA KIZINGA TU UNAMKAUSHIA...HAHAHAH
 
Tuma sasa fasta asikuweke kwenye orodha
 
haha alafu wanaviwango vyao,ukimtumia mkwanja wa kutosha hatokuita bby tena,utaskia 'hubby ake' ,
 
Back
Top Bottom