Jamani likaka langu limelogwa

Pole sasha but nadhani na nyie pia mna matatizo, how comes mama amuombe mwanae kitu pasipo kupitia kwa mkewe?! Inaonyesha matatizo yako kwenye uhusiano mzima na wifi yenu tangu mwanzo!!

let me remind u kuwa mwanaume atamwacha mama yake na baba yake nea ataambatana na mkewe same applied 2 a woman, nao watakua mwili mmoja,so sasha girl,mwili mmoja hufanya jambo moja, kaka yako hana tym ya kuwasaidia,so her wife..... ''pesa c ishu' hahahahhahaaaaa...kwenu nyie,ni issue,tena bonge la issue mamaa,tht z y ikakutach ukasend thread jf. anyway,poleni kwa matatizo

tena nimelipenda jibu la huyo wifi yake kusema kaka yao kabanwa na ujenzi.
Sometimes ili ufanikiwe inabidi uwe kauzu maana akizidi kuwaendekeza kijumba kitakuwa hakiishi.

kilichonitach ni kumwambia mama yangu akavunje mahali aibe kwa sababu mume wake yupo kwenye ujenzi wa nyu,ba.nimeshangaa sana wanawake wengine man.mwana kuna watu hawana adabu kabisa siJui kama waliokotwa au kuzaliwa?

masuala ya mama yeni mnapaswa nyinyi wote watano mkae na kupeana majukumu
ya nini kifanyike na nani afanye

sio kumshutukiza mtu mmoja mwenye majukumu yake mengine tayari

heshima kitu cha bure,huyo wifi hakumjibu vizuri mkwewe,hata kama huyo kaka hana,angemjibu kistaarabu.juu ya yote,inaonyesha hampatani na huyo wifi,iliyobaki,kuweni wamoja,nyie wenyewe jaribuni kumsaidia mama yenu.na msisahau kumuelezea kaka yenu,mlivyolelewa na mama yenu kwa shida,mpaka hapo alipofikia.mimi huna vya kuniambia kuhusu mama yangu.namsaidia na ninajivunia kwa hilo

Ni Mmachame? Kana ndo huyo, subiri hiyo nyumba wanayoijenga ikamilike, kaka yenu atatangulia.

Ikifika wakati wa mama kuitwa atakuja MAMA.....
ukifika wakati wa Dada kuitwa atakuja DADA.....
ukifika wakati wa Mke kuitwa atakuja MKE.....

Kila Mtu ana umuhimu wake na kwa wakati wake.......upo hapooooooo????

masuala ya mama yeni mnapaswa nyinyi wote watano mkae na kupeana majukumu

ya nini kifanyike na nani afanye

sio kumshutukiza mtu mmoja mwenye majukumu yake mengine tayari

hakuna alichoshtukizwa huo ni wajibu wake kama cc tunavyotimiza wa kwetu kwa mama yetu.sasa iweje mkewe ajibu mbovu bila sababu.jamani mnaotaka kuoa angalieni sana wanawake mnaotaka kuwaoa wengine ni swila wakishaongia ndani ya familia ni kumwaga sumu tu kwa kila mtu.

yani ur a real man.bwana hakuna kama mama.hata hivyo tupo wa 4 tunampa taf mother.huyo wakiume amegoma tumempotezea.ila najua one day atajuta sana

Karibu jamvini na pole sana ila nikushauri, kama kakako kashaoa mwachie aendelee na maisha yake ye na familia yake. Ni kawaida akioa au kuolewa huwezi kuendelea kutegemea kuwa ile intimacy alokuwa nayo kwenu itaendelea kuwa ileile. Endelea tu na maisha yako ndugu yangu mwacheni kakenu abaki na familia yake,

Hajalogwa hata kidogo ila "wamekuwa mwili mmoja na si wawili tena". Niwe muwazi ukiendelea kumfuatilia kakenu mtasumbuka bure jamani. Mwacheni ashakuwa mtu mzima na ana anafamilia sasa. Pole kama nimekukatisha tamaa ila najaribu kukueleza ukweli ili uutulize moyo wako!

hata cc wote tuna familia zetu tena tumeolewa wote tunatunza familia ukweni na nyumbani pia but kwa mwenzetu wa kiume sasa.utata ndo uko hapo.mbishi kama nyama ya goti.yani tumemchoka na kumpotezea

Hata kama wanajenga huyu mwanamke hana adabu kabisa. Ni kosa kubwa sana kumjibu mkweo dry. Kwa nini hakuacha mumewe ajibu? Huyo atakua hana adabu si kwa mwewe tu ndivyo alivyo lelewa. Mwacheni akenue iko siku atamfata mama mwe anatambaa.

Kujenga kujenga nini bwana. Elfu hamsini ndiyo itafanya ujenzi usiendelee? Tena wale wenye moyo wa kutoa ndio wenye maghorofa.

Na wanaosema eti huyo mama angemuomba wife hiyo ela kweli mnaona haki mnachosema? Huyo mume ndiye mwanae akimuomba ela ni sawa kabisa. Na kama angekuwa na imani na huyo wife na anajua ana kipato basi angemuomba wife ni sawa pia.

You don't need to fight with your inlaws to prove that you have power and contol over your husband.

Wakati mwingine ndoa zinakuwa na maugomvi yasoisha kumbe kuna watu wanalalamika na Mungu analipa hapa hapa. Huyu ni mzazi lazima apewe nafasi yake. Na yeye ni mke na ataendelea kuwa mke tu. hawezi ku replace mama

Taratibu mama yangu mwe............unajua the way alivyoiweka mtoa mada ni wazi kuwa mahusiano yao si mazuri na hatujui imekuwaje yakafika hapo yalipofikak. Mytake inawezekana kabisa huyu mke amekuwa provoked kwa muda mrefu na kwa kila aina ya ushari sasa kaamuwa kuwatolea uvivu......... besides amemjibu mkwewe kuwa wanajenga mie nampa benefit of doubt (ndio si heshima kumjibu dry mkweo) but tungejua pia heshima anayojipa huyo mkwe!! Kusema ukweli maisha ya ndoa/uhusiano kati yangu na mkwe wangu nategemea uwe wa kirafiki sana tu awe mama yangu...........kitendo cha yeye Mama Mkwe kwenda kumlilia mume wangu shida pasipo mie kujua kinanipa utata kidogo (samahani kama mie nimelelewa tofauti mtanisamehe) but ningetegemea kuwa hiyo operation mie mwanae ninajua na shida yoyote we talk na saa ingine hana haja ya kuomba.

Tutamjudge huyu mke kwa kosa la kujibu dry (si heshima ndio) but also hatutampatia Sasha sympathy kwa kuwa hatuujui upande wa pili wa shilingi nyumba kubwa,

Hilo la Mama mkwe kumwomba mwanae pesa bila mkwewe kujua,........ ni thread ya peke yake. Na kama si tatizo iweje basi aloombwa akalifikishe tena kwa mkewe???!! au ndo mtasema karogwa??

Mimi naongelea uzoefu nilonao. Sioni tabu yoyote mama mkwe kumuomba mwanae ela, kunioa mimi haina maana kuwa mama yake hana haki ya kuongea na mwanae directly. Na in most cases mume wangu mamake akimuomba ela basi atanambia wife mama anaomba kiasi kadhaa. Sasa hapo nitakasirika nini? Kuwa nimedharauliwa? Kuwa mimi ndiye niliyetakiwa kuombwa si mwanae? That sounds like saying a wife is a boss in the house and anyone who needs something from my hubby should talk to me first. Which is wrong!

Na kitakachofuata hapo mkaka akianza kujitambua ataanza kupeleka ela kwao kwa siri kwani mkewe ameshaonyesha kuwa apendi.

Na hata kama wana sababu za msingi za kutompa huyo mama pesa kwa nini huyu mke anakubali kutumiwa na mumewe kujibu message. Kwamba yeye ni chizi sana. Yani ni kama anamwambia mmewe hacha mimi nitawakomesha. Jamani hata kama tunaolewa kwenye koo zenye matatizo let them handle their problems tusipende kujiingiza kwenye maugomvi na kukoleza ugomvi wa familia za watu.

Nimekuelewa mamii nadhani niko tofauti kutokana na experience yangu na mie kuwa they are my friends kwa kweli kiasi kwamba hata kama anataka kumbom mwanaye hunijia mie tunapanga mashambulizi. We are so close kiasi kwamba hakuna kitakachotokea kwao nisikijue, so najaribu tu kufikiria Mama anashida ashindwe kunieleza/nishindwe kuijua hadi amlilie mwanae.......... so Naomba nikukubalie mpendwa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…