Jamani mabinti hizi "PUSH BACK" mzivae vizuri!!!!

Ahaah!! Kumbe na wewe ni binti!! Kama Matiti yameshalala yanini kuyainua tena????
Kama mnataka kuvuta attention ye2, nikikupata ndo mwanzo wa kumegana na kumwagana coz mimi nilidhani Matiti yamecmama!!!!

my milki is standing.
 
Mh, angalia mama, maana maua mazuri siku zote huponzwa na uzuri wao na huishia kuvutia madudu ya ajabu ajabu kama nyuki, inzi, vipepeo pori,funza n.k.

hao nyuki ndio wa ukweli maana watatengeneza kitu kitamu ajabu.
 
hao nyuki ndio wa ukweli maana watatengeneza kitu kitamu ajabu.

Sawa mama watatengeneza kitu kitamu ajabu lakini sio kwako, wataenda tengenezea kwenye mzinga wao na wewe utaishia kung`atwa na kunyonywa utamu tu, haooooooooooo wanajichepa.
 
Sawa mama watatengeneza kitu kitamu ajabu lakini sio kwako, wataenda tengenezea kwenye mzinga wao na wewe utaishia kung`atwa na kunyonywa utamu tu, haooooooooooo wanajichepa.

kweli eeh!
 
kinadada wanafanya yote haya ili watuingize mkenge tu.yani full kutuibia
 
Hapo umenena lazima uwe mdadisi!!! Pia still nadadis kawa kwanini Mabinti wengine Milk zmecmama kama zako na wengine zmelala???!!!

mmh! Na wewe mdadisi! Ngoja nifanye kajirisech kadogo maana hata mimi nakutana na nawafahamu madada wanaopenda kufanya hivyo.
 
Dah you gave a laughter of a day! Teh teh acha akome kuacha mambo hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…