Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Angalia ya Madrid vs Ajax ni bonge la game, kama upo bongo ATN TV!Hivyo vimini vinasaidia wakati abiria wakiwa wamechoka ha ha ha.
Mie naangalia itakayoonywesha na channel yoyote ya tv. Badra Masoud tafadhali usikate umeme
wale wa vingamuzi kipi kinafaa kati ya star times easy tv na hao ATN naona hao jamaa wa atn wanakuja juu kwa mnaopenda ga,e,jana nimewasikia radio maria wanapatikana mikoa mingi,
Ondoa shaka nipo kazini! Naendelea na uchunguzi unajua ishu ni kubwa inaigusa ikulu hivyo inahitaji umakini!Ulituambia tukae mkao wa kula vipi sikuhizi uzalendo umekushinda haya mpira mwema
Katika umri wangu wa miaka 32 ya uhai wangu nimebahatika kusafi kwa ktk mataifa yapatayo 22 duniani!
Kitu kilicho nishangaza ni aina ya mavazi ya wahudumu wa kike ktk ndege kuwa katka muundo wa vimini mahaba!
Naomba mnisaidie juu ya hili, haya mavazi kwa nini ni vimini mahaba na yenye kufanana kwa wahudumu wa ndege karibu wote dunia?
Nawatakia utazamaji mwema wa ligi ya mabingwa leo mimi naangalia mechi ya Real Madrid vs Ajax, sijui wewe mswahili mwengu unaangalia mechi gani
Ukisoma kwa makini thread hii nimesema "KARIBU wote"Vimin?!, KLM pia wanavaa vimini?!............. Rudia uchunguzi wako vizuri- au obseration iliongozwa na mihemuko?!.
Vimin?!, KLM pia wanavaa vimini?!............. Rudia uchunguzi wako vizuri- au obseration iliongozwa na mihemuko?!.
Sarawali ifananayo na ngozi ya mrembo tena ile ngozi ya pajani ni sawa angebaki hivyohivyo tu, maana hakuna maantiki ya hiyo soksi labda ni kwaajili ya vumbi!klm ipi? hii marehemu mtarajali? mbona kuna wanaovaa sarawili? huyu anazinguliwa na zile soksi za mwili wanazovaa wadada..
Dah hongera sana kaka! Nitaomba maujanja mkuu maaanaa kila nikisafiri roho yangu inakuwa majaribuni ile mbaya mkuu!Hilo swala hata mimi nimejiuliza sana wadau..ila ni burudani coz katika safari zangu nilishawahi bahatika tafuna mmoja,sio wachoyo ndio uzuri wao.
Sarawali ifananayo na ngozi ya mrembo tena ile ngozi ya pajani ni sawa angebaki hivyohivyo tu, maana hakuna maantiki ya hiyo soksi labda ni kwaajili ya vumbi!
Hilo swala hata mimi nimejiuliza sana wadau..ila ni burudani coz katika safari zangu nilishawahi bahatika tafuna mmoja,sio wachoyo ndio uzuri wao.
Ndugu we acha tu, kwani ingekuwa rahisi hivyoo mbona ningefuurahi!soksi za mwili ni tofauti na sarawili na huwa zinavaliwa na sketi. sasa ww ukikutana na aliyevaa soksi zimefanana na rangi ya paja zinakupa kichaa, unakuta chini yake kuna makovu balaa! kazi unayo kaka,usione kichaka! utaishia shimo la tewa aisee,mnunulie mamaa hizo soksi u-fantasize home,lol