Jamani mademu wa Dar! Siyo mchezo

mshikachuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
2,853
Reaction score
627
Jamani nimezunguka baadhi ya mikoa ya Tanzania na nimewaona warembo wa kila aina, Lakini warembo ambao nawaona ndani ya Bongo,si mchezo jamani!

Kila ninakopita ni balaa tupu! yaani kila mmoja ni mzuri na anavutia kivyake. Pindi nimalizapo kumshangaa demu wa kulia kwangu'nikigeuka tu kushoto, mwingine huyu close yangu!.

Yaani utasema wanashushwa toka angani! Hebu nisaidieni wandugu hiki ni nini? Au ndio ushamba wangu wa mkoa?
 
sasa tukusaidie vipi mkuu? hauko wazi hebu jifungue kidogo:whoo:
 
Beauty is in the eyes of beholders.Huu ni mtazamo wako,inaonekana wewe ni mtu wa mademu sana, pole sana kwa kuendekeza ujinga huu!!
 
Mkuu Mchina nae anachangia, angalia usiingie mkenge!
 
Illustrate tatizo lako kwa picha..kama vipi thread ifungwe..teh teh teh..
 
Oya kama una katoto binti, nipe nikulelee. Ndan ya 4 months, nakurudishia umshangae...
 
Hili ni balaa.....wengi wa unaowaona hapo Dar wametoka hukohuko mikoani!
 
Unanikumbusha jamaa yangu mmoja (rafiki yangu) kutoka majuu (mzungu) alikuja kunitembelea. Katika kuzungukazunguka kumbe jamaa anawacheki watoto wa kibongo! Hakuvumilia mwisho aliniambia wazi wazi kwamba Tanzania mna wanawake wazuri sana. Nimeangalia wasichana mpaka nimewakubali. Akasema angekuwa hakuoa angeoa TZ. Kwa bahati mbaya alishaoa na alikuwa na mkewe hapohapo. Basi ndo ukweli naona. Tumshukuru Mungu kwa uumbaji wake!!
 
 
miss world ni zaidi ya urembo hahahah

 
sasa usiishie kuwashangaa tuu, fanya kweli ili ujue
kama uzuri huo ni jalada la kitabu au na "hadithi" yenye
ni bomba pia
 

Mshikachuma, taratibu!!!! "Uonapo vyaelea vimeundwa" na "Si kila king'aacho ni dhahabu", jifunze kuvumilia, hiyo ndiyo bongo!!! Wasema umetokea mkoani, wapi?
 


Akchwuale mademu wa bongo wanachowazidi wa huko upcountry na kuoga na mavazi tu mwana usipagawe kihivyo... hata wa huko mikoani ukikuta anayejua kuoga fresh na kupiga pamba mbona utachanganyikiwa?
 
mimi huwa naona wamikoa ndio wazuri kulioko hapa bongo, kwanza nawaogopa sana, mana ni wajanja wajanja, huwa najiachia sana nikiwa nje ya jiji la dar
 

Teheteheee..kwenye hiyo red...ujue watu wa mkoa wengi, jiji la dar wanaliita bongo, lakini kwa wale wanatoka dar...tanzania yoooote, wao wanaiita bongo..lets say ukiwa ughaibuni...inshu zote zxa tanzania utasema bongo...kuna this and this(haumaanishi dar bali ni tz yote)..lakini kwa watu wa mkoa ukisema bongo wao wanajua ni dar tu pekee.........chukua hatua!!:whoo::embarrassed::teeth::redfaces:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…