Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
mimi huwa naona wamikoa ndio wazuri kulioko hapa bongo, kwanza nawaogopa sana, mana ni wajanja wajanja, huwa najiachia sana nikiwa nje ya jiji la dar
Jamani nimezunguka baadhi ya mikoa ya Tanzania na nimewaona warembo wa kila aina, Lakini warembo ambao nawaona ndani ya Bongo,si mchezo jamani!
Kila ninakopita ni balaa tupu! yaani kila mmoja ni mzuri na anavutia kivyake. Pindi nimalizapo kumshangaa demu wa kulia kwangu'nikigeuka tu kushoto, mwingine huyu close yangu!.
Yaani utasema wanashushwa toka angani! Hebu nisaidieni wandugu hiki ni nini? Au ndio ushamba wangu wa mkoa?
hat mie nilishangaa nilipoenda mkoani kwa mara ya kwanza kusikia wakiita dar ndo bongoTeheteheee..kwenye hiyo red...ujue watu wa mkoa wengi, jiji la dar wanaliita bongo, lakini kwa wale wanatoka dar...tanzania yoooote, wao wanaiita bongo..lets say ukiwa ughaibuni...inshu zote zxa tanzania utasema bongo...kuna this and this(haumaanishi dar bali ni tz yote)..lakini kwa watu wa mkoa ukisema bongo wao wanajua ni dar tu pekee.........chukua hatua!!:whoo::embarrassed::teeth::redfaces: