Jamani madent mliopita shycom mupo jamvini?

Jamani madent mliopita shycom mupo jamvini?

GAM

Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
20
Reaction score
2
kwa wale tuliwahi kusoma pale shinyanga commercial institute a.k.a shyom bila shaka mtakuwa na mambo kadhaa wa kadhaa ya kujikumbusha hakika kulikuwa na mambo mengi mazuri na ya kukatisha tamaa baadhi ya hayo mabo ni kama ifuatavyo,
kulikuwa na mwalimu mmoja anaitwa mwita mnoko huyo usipime.
Morning joging mpaka kambarage stadum.
Adhabu maarufu kama chombo.
Last but not list kwa mabweni ya wavulana kulikwa na ki2 kinaitwa barafu, unakikumbuka hicho? Mwaga mavituzi mwanawane.
 
Back
Top Bottom