Jamani Madonna!

She is possessed by demons..
 
Atakuwa anagonga sixty au seventy huyu mama, mi nimezaliwa namsikia, akiwa na vituko vyake hivyo vya kujiachia ovyo.
Labda kama nimefananisha jina.
 
Mambo mengine ni kinyaaaa tu.
 

Attachments

  • 1423554739540.jpg
    83.8 KB · Views: 1,998
Kwenye kili music award wema alianika mamchina nje so, wema in tz=Madonna.
 
Wengi humu wanasema wasichokijua. Madonna vituko hajaanza jana, uvaaji huo wala sio mpya kwake na wala hatafuti jina.

Basi tu hatukua na vyombo vingi vya kupashana habari.
 
Reactions: kui
Mzuri Mashallah...
Maana tangu enzi hizo hadi leo kama kabinti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…