Mmh mja asili aachi asili
She is possessed by demons..
Duh!, mkuu umeamua ku zoom in kabsaa!,....lol!
Halafu watoto wake wakubwa tu sasa, Madonna is nuts!
illuminati hawajamchoka bado. walimtumia whitney wakamchoka wakamuua, wakamreplace na kina beyonce rihanna nicki etc.
Huyu nae mkija kuskia kafa kifo cha ajabu tusishangae,koz mrithi wake lady gaga ashapatikana. Its just a matter of time.
Porojo!
Ujalazimishwa kusoma wala kucomment ndugu...
kuna mijitu mingine huwa haiamini kama hayo mambo yapo kwa sababu haitaki kujifunza na kufatilia mambo ya ulimwengu yanaendaje ndio maana inaishia kusema ni
porojo tu
Bibi bomba katisha,kwa ulaya/usa unaweza ukasikia ni moja kati ya woman with big ass.
Hajaanza leo huyu hivi vitu, ni miongoni mwa wasaniii waasisi kucheza uchi uchi
haya mambo yalibidi yaendane na umri.....
Tabia ni kama ngozi wakati mwingine.