Jamani Madonna!

Haaa haa eti vitako kama ngumi ya mtoto..JF raha sana
 
Anabishana na umri... [emoji1][emoji1][emoji1].... Eti badoo..... Anaji'pretend ni mdada..... [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
kama Faiza ....................................πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Sasa kina shilole wakimuona huyu ajuza anavyofanya hivyo basi wanajiona wenyewe ndio saa 6 mchana.
 
He he, huyu ndo Madonna bana. Akikua ataacha. πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…