Jamani Maisha hayana formula

Mbona walikua wameshajulikana hapo
 
Harmonize na yule bwege mwenzie wakiona picha hyo ya kajala na mwanae wanaweza kuzimia kwa mshangao.

Dah!!,
Kumbe walikuwa wanawake wa kawaida sana.
 
Kwahy huyo mdogo n Paula.? Kwahy bc Kajala amezaa akiwa underground kabisa eee
 
Kwa muonekano huu huyo mtoto wake inaonekana kaanza kuchapika mapema sana
 
uchawi upo jamani dah.

sasa konde boy picha zake za zamani si alikua 2mbili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…