Ndugu zangu mama yangu anaumwa sana,tatizo lake anasumbuliwa na hedhi,kwani tangu mwezi wa saba alikuwa hajaona siku zake za hedhi,kwa sasa tatizo imeanza kama wiki mbili zilizopita anatokwa na mabonge ya damu ya hedhi mfululizo mpaka anaishiwa nguvu,jamani ndugu zangu wenye utalaam na haya mambo naombeni msaada kwani mpaka sasa hivi hali yake ni mbaya sana kwani nimechanganyikiwa jamani
natanguliza shukrani zangu
ndugu zangu mama yangu anaumwa sana,tatizo lake anasumbuliwa na hedhi,kwani tangu mwezi wa saba alikuwa hajaona siku zake za hedhi,kwa sasa tatizo imeanza kama wiki mbili zilizopita anatokwa na mabonge ya damu ya hedhi mfululizo mpaka anaishiwa nguvu,jamani ndugu zangu wenye utalaam na haya mambo naombeni msaada kwani mpaka sasa hivi hali yake ni mbaya sana kwani nimechanganyikiwa jamani
natanguliza shukrani zangu
Tafadhali dr g nipe number yako japo tuweze kuongea kwenye simu tafadhali,mama ana umri wa miaka 39 yrsPlease naomba kujua umri wa mgonjwa, afu tangu mwezi wa huo wa saba je hajakutana baba yetu? Na kama anaishiwa nguvu mpaleke hospital aongezewe damu. Jambo jingine afanye vipimo vifuatavyo UPT, abdomenal uss. Hii itatusaidia kujua kama alipata mimba na sasa imetoka coz hizo ndo dalili zake, pia tunajua kama ni fibroid, dysfunctional uterine bleeding (DUB) au cancer lakini nikijua umri wa mgonjwa itanarrow thinking yangu.