miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
- Thread starter
-
- #181
Halafu mbona naona solution ulikuwa nayo kabla hata hujaandika...Umesema mtu hamjali,Hana pesa (Kitu ambacho umekipa kipaumbele),Mambo ya 6*6 ni zero sasa anasubiria nini miaka yote mitano hio....Is she waiting for a miracle from GOD to happen???Aachane na mambo ya familia huyo mwanaume ataishi nae yeye na si yoyote so SHE IS RESPONSIBLE FOR HER HAPPINESS AND SHE SHOULD LIVE HER LIFE UNDER HER CONDITIONS PERIOD!!!!!Au hajielewi anataka nini ndo maana anatapatapa?
huyo mkaka amuache tu keshamtia dosari nyingi anawazibia wengine riziki zao!!!na akiendelea kuwa nae atamtenda mbeleni!!!amcheat au amuadhirishe kwa namna moja au nyingine!!na kitu kingine hatompa huyo mwanaume heshima anayostahiki kupewa kwasababu tayari keshamdharau kwamba hamfikishi akilinganisha na wengine and thats too baaaad....kinachonishangaza tu ni kwamba alikuwa anasubiri nn muda wote huo...kama hizo kasoro zote lazima aliziona mapema kazivimbikaaaa weeeee dah!yawezekana!!!!!!!
man he is too rigid afu hela yenyewe hana....angekuwa anahela kiukweli ningeshauri kitu kingine jamani
sasa miss chagga kwanini msifanye pamoja mkamfundisha jamaa...?
mleta mada...wewe umeolewa?
1.kama ,jibu ni ndiyo starehe yako kwa mme wako ni ipi?
2.Je,mme wako huwa anakukaza vzuri??
3.Km,bado hujaolewa,je ungependa kuolewa na (a) mme anaejua kugegeda vizuri au (b)mwenye mapenzi ya kweli au
(c) mwenye pesa
Kuoana kwa matazamio ya kustarehe kwa maana ya kufanya mapenzi ni "Ujinga" ambao vijana wengi wanaupa kipaumbele katika kufikia kufanya maamuzi ya kufunga ndoa.wanasahau ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi...faida kubwa ni kuwa na familia(watoto) yenye furaha na upendo....kugegedana huwa kuna expire baaada ya miaka michache ya ndoa na kuzoeana.
akirekebisha hapo kwenye RED, atanoga na kupendeka!
yeye anataka penzi
Mwizi wa nini sasa?
ha haha..., sio shoga yake ni yeye mwenyewe.., au umesahau watu wa humu kijifanya kuomba ushauri kupitia migongo ya marafiki zao...lolNtasema haya1. Mwanamme hajui mapenzi afu kakaa naye miaka 5?2. Tafuta mwanamme akuweke busy, mapenzi ya rafiki yako yasikunyime usingizi.
alaf unajua watu mnashupalia chips/kuku/mayai bila kujua nin chanzo hasa cha upungufu wa nguvu za kiume.., its all these industrial foods tunazokula kila siku.. juice za viwandani(azam mango nk.nk) soda, zina preservative kama sodium benzoate na wenzie cocaine...to mention few,, ambazo zina chelate protein..Amshauri jamaa awe anafanya mazoezi na pia vyakula...chipsi kuku aache ale vyakula vya kuongeza nguvu...
Hayo ya simu yanaweza kurekebishika..
Na siku zote uwezi kupata full package mengine mnafundishana na kurekebishana mpaka kieleweke
ha haha..., sio shoga yake ni yeye mwenyewe.., au umesahau watu wa humu kijifanya kuomba ushauri kupitia migongo ya marafiki zao...lol
Miss chagga Fanya yote lakini sio kosa la kuchagua mume au mke umpendaye. Hivi umewahi kujiuliza ulale kitanda kimoja na mtu ambaye humpendi kwa Masaa 24 siku 7 miezi 12????? Hio ni adhabu kubwa kuliko kakaa jela.. ushauri aachane na Huyo mwanaume na uje na mada ya namna ya kumuacha kama atashindwa. Be advised
Hakika lako hili laweza kuwa neno waaalahi.Mgogoro upo kwenye pesa hapo my dada kwingine wanazuga tu!!!!!