Jamani mapenzi yatanimaliza nisaidieni pls

mapenzi haya jamani!!! nakushauri usikilize yeye msimamo wake upo wapi. inawezekana wazazi wamempa vitisho. kama bado anakupenda mtafute namna nzuri ya kuwashawishi wazee.
 
hasty generalization fallacy.
 

Pole sana! usiwe na haraka sana katika utatuzi wa jambo hili, unapaswa kujua mwenzio pia yuko katika wakati mgumu sana, yuko kwenye "Dilemma" unapaswa umsaidie taratibu kuona wazazi wake ni muhimu sana kwake lakini pia atapaswa kufanya maamuzi muhimu bila kukupoteza wewe! kipindi cha kuchagua mchumba si kipindi chepesi kama watu wangi wanavyofikiri, Tafadhali, jitahidi kuonesha muonekano mzuri na tabia zenye mvuto kwake ambazo zitamhakikishia pengine asizipate kwa mwanamke yeyote!

Wakati mwingine sisi watoto wa kiume unaweza ukashindwa kumueleza mpenzi wako umemchoka hutamwoa unaanza visingizio na hasa kusingizia wazazi ambao kimsingi wewe huwezi kuwahoji. Mi naona bado kuna nafasi kubwa tu ya kuyapatia ufumbuzi matatizo yaliyojitokeza Lakini kama yote hayo hayatasaidia basi sio riziki inauma sana lakini "No way! utapaswa kuachia.
 
@shibalanga,yan mpaka nmeckia ucngzi jinsi ushaur wako ulivyonipa faraja. Asante mno mkuu
 

Braza we mpe mimba tu, evry things gonna be olrit
 
Mhhh nafakiri huyo ana stress za kutoka kwa wazazi wake na imani waliyonao wazazi wake na pia still bado anakuhitaji. Haya mazingira pengine inawezakana ndiyo yanayompa shida.

Nakushauri mpe muda, uongo utajitenga na ukweli.

Pole brother
 
@horsepower,asante sana mkuu
 
Inawezekana kabisa mwenzako anahudumiwa na mwingine,omba unyumba,kula kitu,ukitaka pia kumwahisha mpe mimba,hapo hatakuwa na ujanja tena,unaoa taratibu bila usumbufu
 
ndugu huyo msichana anakupenda tatizo hao wazaz ndo wanaleta utata wote huo. Mpe muda na wkt huo kukijiweka jiran sana nae.
 

Mungu akusamehe bure BJ.
 
Ameshakubali ushauri wa wazazi wake huyo. Achana naye usipoteze muda wako.
 
Sio mkiishi miezi mitatu, ni miezi sita na majirani wawaone na kuwatambua kama mke na mume, hapo kisheria kunakuwa na kitu wanaita "assumption of marriage"
 
Pole sana, lakin kwa upande mwingine ni heri ilivyotokea kabla ya ndoa kuliko ingetokea huku mkiwa ndani ya ndoa, ikishindikana kabisa ni bora ufanyiwe cancellin usahau kabisa kuliko kulazimisha muoane af yaje yatokee mambo ya ajabu itakuuma sana zaidi ya hapa.ikiwezekana mpende kawaida lakin usimwamin hata kidogo bali umtengenezee mazingira ya kufanya ye akupende zaid, NB: huwez ukakosa mwanamke wa ku muoa ambae mtapendana cse wasichana ni wengi kwa 70% in tanzania.
 
vuta pumzi,mpe nafasi,hata yeye hili jambo linamuumiza sana,kwani ktka swala linalohusu ndoa,watu wa kwanza kabisa kutegemea kupata support ni wazazi,hv inapokosekana huwa inaumiza sana,ndio maana wengine wanapoona vkzo kama hvyo huamua kuharibu kwa kubeba mimba ili mzazi asarennde naakubali matokeo,wengi hufanikiwa ktk mission hii,so angalia possible angles unazoweza kuovercome hili jambo,but be sure hamchezeani bali mnamaanisha kuona,ile nia haswa.
 
mpige mimba hapo kibao kitageuka,wataanza kukubembeleza wewe
 
the boss,acha na hilo mi kwa sasa nafocus on how to rescue ma love na kiukweli ndo kwangu ni lazima tena lazima hakuna discussion hvyo pls help me kwenye swali langu la msingi


Duh,kaka yaelekea umekomaa sana na ndoa mpaka dada na familia yake wanaku-avoid mzee.....tena agenda ya ndoa ipige chini,usiwawekee mezani for the time being...yaelekea hukuwaandaa kisaikolojia hao....wanakuwekea kizingiti tu...hamna dawa ingine mzee bila kumpa mimba huyo mtoto,otherwise unacheza tu makidamakida..utaishia tu na fantasy za ndoa kwanza na mbwembwe zingine kibao....jeuri ni mimba isiyokua na discussion...wewe fata huo utaratibu wako wa sijui ndoa rasmi,huyo dem utamsikilizia kwenye bomba tu mpaka 2016 ukiwa 32yrs...na im sure kuna njemba zitaku overtake...na hivo tena wazazi wake wameanza drama,issue itakua ndeeeefu halafu utakuta muda wako umepotea buuure.
 
Mungu akusamehe bure BJ.

Sasa wewe Butifulu Ledi unadhani BJ kakosea?Whether you accept or not,walokole ndio ivo walivo japokua sio wote...wana dharau binadamu wengine wooote ambao hajaokoka,superiority complex ndio tatizo lao....bure kabisa....
 
wewe achana nae kwan lazima umuoe yy?kuna rafk wa dadaangu ding ake alimkataa mchumba et kisa sio tajir..we bas mdada anazid kuchina home anamlaumu babake kshenz,labda kuna mtu kamtafutia
 
hayawezi kukumaliza yatakuacha na vipande pande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…