jamani marafiki wa kweli wanahitajika

Sasa na hao marafiki wa kweli ndo inakuaje??
Nwy mi nna 21....si unaweza kupunguza kidogo???
 
yani tofauti kabisa. Mi nilipoona marafiki wa kweli wanahitajika, nilijuwa hiyo itakuwa nafasi yetu kwa wengi kabisa kumbe anayehitajika ni mmoja.
then ulikuwa uweke vigezo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…