Ni kweli kabisa na wala siyo umbea, ilikuwa usiku, sehemu fulani hivi, Masha akiwa kashauweka mtungi, then mambo ya siasa yakaingia, comments za Ulimwengu zikampandisha hasira Masha, alimtwanga vibaya, Ulimwengu nundu kibao usoni, Poor guy, angeweza kumuua mzee wa watu, Ulimwengu ana ugonjwa wa kisukari..
Nimesikia kwamba wameamua kuyamaliza kifamilia, wote wameoa sehemu moja, marangu kwa 'Mareale', nasikia wakwe wameamua kusuluhisha na kumsii Ulimwengu asichukue hatua sababu Masha atahadhirika vibaya.
Ushauri: Masha acha utoto.. It seems u dont have patience na kujifanya mtemi, utakuja pata kichaa atakayekutoa roho..