Kilinzibar
Senior Member
- Mar 6, 2008
- 124
- 1
sio mchezo nikiona mh zitto akiwa na makazi yake mjini dar wala sishangai na hii ni kwa wote wale wanao wakilisha majimbo yao wanao penda kukimbilia kuishi jijini dar kwakweli kunaumuhimu wa kuendelezea hii miji atleast pale mikoani
ivi ni huwa asilimia ngapi katika makusanyo ya kodi huwa yanabaki katika mikoa? au ndio lazima ije dar (hq) kwanza alafu ndio wapangiwe?
Hii ndio stand ya mabasi. Hapa kama unakwenda Kigoma wakakwambia tunakwenda hadi stand ya mabasi watakushushia hapa.
Na kama unatoka Kigoma kwenda mikoani kwa basi ukiambiwa nenda stand ya mabasi, njoo hapa.π
View attachment 2586
View attachment 2587
Nini? wame improve kitu gani? na kama hapa wame improve basi dunia kwisha kabisa.Hapo ndo wahusika wameimprove kidogo. Kabla ya hapo ilikuwa vichekesho na aibu tupu
Ukiniambia habari ya wahindi wanitia kichefuchefu maana ukiwagusa tu wanakuita mbaguzi lakini hakuna wezi na wabaguzi kama watu hawa.
Angalia skendo zote za wizi mkubwa serikalini wao ni wahusika wakuu.
Tena bwana wee ni wabaguzi kuliko unavyoweza kusema. Hilo watu wengi hawalisemi ila ukieleza kasoro yao nakwambia watakuita mbaguzi we.
Ngoja ninyamaze maana hapa hapa nitasikia wananiita mbaguzi.
Picha ni hizi hizi mkuu ulikuwa na memory card ya 60MB?
Habari yako ni ndefu sana...iliyo jaa ukweli ambao ni mgumu
kuupokea lakini ungekuwa na tu viambatanisho twa kutosha
ingekuwa pouwa sana.Kwa mfano eneo la ziwa,wavuvi.
Picha za migebuka,dagaa uko hukutembelea?naona umeongelea
lakini hukuwa na viambatanisho...inafurahisha maelezo yenye picha.
Ni mtizamo tu.
Yoyo mbona unamwandama sana Zitto wakati Kigoma ina wabunge wengi?Zitto hawezi kuishi hapa.......washikaji,beer na nyama choma hakuna.Hapo ndio mwisho wa Reli kwa Buraza Kei
Ni kweli. Sijui kama wanapata muda wa kuangalia hapa. Lakini wanaona au la, najua message delivered.Mchukia Fisadi,
Thread yako naona inaleta simanzi lakini vile vile ni inaleta changamoto kwa viongozi wetu an kwetu sisi kama wananchi. Mara nyingi wengi wetu huwa hatujui madhira wanayoyapata ndugu zetu wanaoishi mikoani kwa sababu muda mwingi tupo Dar es Salaam.
Napendekeza ni vizuri picha zaidi za mikoa mingine ya Tanzania yetu ziwe posted hapa na yeyote anayefanikiwa kusafiri kwenda huko au aishie ili tujue zaidi kuhusu nchi yetu na jinsi hali ya maendeleo ilivyotofautiana mkoa hadi mkoa.....Picha zinaongea zaidi ya maneno.