Miwatamu JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 1,450 Reaction score 489 Dec 24, 2012 #1 Najaribu kuperuzi kadri niwezavyo pamoja na uhafifu wa mtandao nashindwa kuona chochote, nauliza kuna mtu ambaye amekwishayaona matokeo hayo kwenye web ya MoE? Tujuzeni.
Najaribu kuperuzi kadri niwezavyo pamoja na uhafifu wa mtandao nashindwa kuona chochote, nauliza kuna mtu ambaye amekwishayaona matokeo hayo kwenye web ya MoE? Tujuzeni.