KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
KATIKA suala hili, mpaka kati ya MALAWI & TANZANIA ktk ziwa NYASA/MALAWI, TANZANIA haina hoja kabisaaaaaaaaa bali ubabe tu. KWANZA, MALawi haijawahi kupakana na TANZANIA bali TANGANYIKA, na ukisoma MKATABA wa MUUNGANO utaona kuwa TANZANIA haikuwepewa haki ya kurithi haki na mikataba ya TANGANYIKA: hizi ndizo hasara za kufanya mambo kwa kukurupuka (KAMA MUUNGANO WA TANGANY & ZANZ). KWA hiyo TANZANIA haina haki kisheria kusema inapakana na MALAWI. PILI, MALAWI wana hoja nzito, kwamba kuna mkataba unaowapatia haki ya kumiliki ziwa lote (mkataba wa JULAI 1, 1890), wakati TANZANIA wana hoja nyepesi sana kwamba, kimataifa pale nchi mbili zinapotenganishwa na maji basi mpaka huwa ni kati2 ya maji hayo: kisheria MALAWI wana treaty (ambayo ni sheria inasimamiwa na mahakama, mkataba) wakati TANZAN sisi tuna convention (ambayo ni maelewano tu,mahakama haiwezi kuisimamia). KWA KWELI hatuna hoja.
IMANI yangu ni kuwa CCM wanataka kupindisha siasa za nchi kama BUSH alivyofanya kule MAREKANI: kama JK na CCM, BUSH alitangazwa kuwa the most incompetent presid ever, akaamua kwenda vitani na IRAQ kwa makusudi, lengo likiwa ni kwamba nchi inapokuwa vitani wananchi wote huungana nyuma ya kiongozi wao dhidi ya adui. VITA ikaanza, WAMAREKANI wakawa kitu kimoja, BUSH akashinda awamu ya pili kwa kishindo. CCM nayo inataka kufanya kama BUSH, wanataka 2015 waseme kuwa CDM haina uzoefu wa kuweza kukabidhiwa nchi "wakati huu wa vita." WATACHAGULIWA, lengo litatimia. JK anasema nchi haijiandai kwa vita, siyo kweli, kwa sababu (1) mwaka 2012/13 bajeti ya ulinzi imeongezwa hadi zaidi ya sh trilioni 1; (2) JKT nayo yaja; na (3) sasa hivi ninapoandika wanajeshi wanakusanywa kutoka pande zote za nchi nzima (kutoka kambi zilizopo MWANZA, TABORA, MARA, MOROGORO nk) kwenda RUVUMA, MBEYA mpakani na MALAWI... kama siyo kwa maandalizi ya vita ni kufanya nini?
Wewe ni mmalawo piwa. Unajifanya kushabikia cdm lakini tumekushtukia.
Jana nimeukuta huu mjadala sehemu watu wakidai kuwa kwa vile ni wazi sasa kwamba CHADEMA haizuiliki katika lengo la kuchukua nchi 2015,na hata kura zikichakachuliwa uwezekano wa kuwazuia haupo,basi njia pekee iliyobaki ni kuanzisha vita na Malawi ili ikiwezekana 2015 Uchaguzi uhairishwe sababu ya vita na pia Vita ujenga mshikamano baina ya wananchi,watasahau tofauti zao za kiitikadi na wote wataungana pamoja katika kukabiliana na adui yao mpya,hivyo wananchi watasahau kabisa na hawatakuwa na muda na M4C na by the time vita inaisha na ushindi kupatikana basi kete ya kisiasa itakuwa imepatikana,MIMI SIJUI KAMA HOJA HIYO INA MSINGI AU LA,TIME WILL TELLKATIKA suala hili, mpaka kati ya MALAWI & TANZANIA ktk ziwa NYASA/MALAWI, TANZANIA haina hoja kabisaaaaaaaaa bali ubabe tu. KWANZA, MALawi haijawahi kupakana na TANZANIA bali TANGANYIKA, na ukisoma MKATABA wa MUUNGANO utaona kuwa TANZANIA haikuwepewa haki ya kurithi haki na mikataba ya TANGANYIKA: hizi ndizo hasara za kufanya mambo kwa kukurupuka (KAMA MUUNGANO WA TANGANY & ZANZ). KWA hiyo TANZANIA haina haki kisheria kusema inapakana na MALAWI. PILI, MALAWI wana hoja nzito, kwamba kuna mkataba unaowapatia haki ya kumiliki ziwa lote (mkataba wa JULAI 1, 1890), wakati TANZANIA wana hoja nyepesi sana kwamba, kimataifa pale nchi mbili zinapotenganishwa na maji basi mpaka huwa ni kati2 ya maji hayo: kisheria MALAWI wana treaty (ambayo ni sheria inasimamiwa na mahakama, mkataba) wakati TANZAN sisi tuna convention (ambayo ni maelewano tu,mahakama haiwezi kuisimamia). KWA KWELI hatuna hoja.