Jamani Mbona hatuwasikii African Arabs katika nchi za kiarabu!

Jamani Mbona hatuwasikii African Arabs katika nchi za kiarabu!

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Inasemekena kuna zaidi ya waarabu wenye asili ya kiafrica milion kumi katika ulimwengu wa kiarabu lakini inasikitisha sana pale wanapobaguliwa katika nnyanja za uongozi na kazi nyeti. Wakigombea ubunge hawapati kura za kutosha kuwa wabunge! Katika viti maalum bungeni, hawateuliwi kuvishika wala kufikiriwa kuwa mawaziri!Wacheche waliohojiwa katika TV za BBC walilalamika sana kwa jinsi wanavyobaguliwa na kufanywa kama vile raia daraja la nne. Jamani haw wamisri na wa libya walipokuwa wanapiga ndogo ndogo kutaka kuunganisha Africa wakati hali ya waarabu weusi nchini mwao inasikitisha , je walikuwa wanatutakia mema sisi waafrica weusi kweli?Nenda online halafu angalia population of african black - arabs, utashangaa na roho yako!
 
Back
Top Bottom