N NIMEKIMBIA CCM Senior Member Joined Oct 4, 2011 Posts 193 Reaction score 26 Sep 21, 2012 #1 Vipi hatima ya mikopo kwa wale wanaoendelea na masomo? Maana mimi sielewi chochote mpaka sasa?,,,,,tufahamishane jamani
Vipi hatima ya mikopo kwa wale wanaoendelea na masomo? Maana mimi sielewi chochote mpaka sasa?,,,,,tufahamishane jamani
T2015CCM JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 7,931 Reaction score 987 Sep 21, 2012 #2 Wameshatoa majina nenda bodi ya mikopo au fungua web yao au nenda jukwaa la elim
N NIMEKIMBIA CCM Senior Member Joined Oct 4, 2011 Posts 193 Reaction score 26 Sep 22, 2012 Thread starter #3 mohamedi tantawi said: wameshatoa majina nenda bodi ya mikopo au fungua web yao au nenda jukwaa la elim Click to expand... kaka asant lakini namaanisha tunaoingiamwaka wa pili maana hakuna hata jina moja lililotoka kote nchini...........
mohamedi tantawi said: wameshatoa majina nenda bodi ya mikopo au fungua web yao au nenda jukwaa la elim Click to expand... kaka asant lakini namaanisha tunaoingiamwaka wa pili maana hakuna hata jina moja lililotoka kote nchini...........