Jamani mbona hunambii, niambie basii!!

Wote walikutana vichwa ngoma droo
 
Walikuwa wanakataa ukiwatongoza wasasema sio type yangu na sikutaki. itafikia muda yani hata ukiwasalimia as a friend watasema " Nimekubalii" ........

√√tusifanye wadada wateseke jamani, yani we kukubebisha kotee hukoo hujui ufanyajee ????, Kweli we MauFundi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
N
Ngoja Bodaboda waitane unawatukana siyo
 
Sasa anataka umwambie kama wewe ni Bashite au la! Make ukimwambia kama wewe ni Bashite atajua haufanksheni yani! Huna nguvu za kiume yani! Zero yani!
 
Sasa anataka umwambie kama wewe ni Bashite au la! Make ukimwambia kama wewe ni Bashite atajua haufanksheni yani! Huna nguvu za kiume yani! Zero yani!
Kwahiyo maana ya bashite ni upungufu wa nguvu za kiume
 
Unatakiwa uhojiwe aisee ili utuambie vizuri juu ya neno bashite
Bashite ni msamiati mpya kwa sasa tumeshauriwa na mkuu wetu wa Darisalama kuutumia sana kadri tuwezavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…