Jamani mbona katika website ya wizara na tamisemi hakuna post ya ajira mpya za walimu?

Pole ndugu, kunathread ( sticky thread) hapo inayozungumzia masuala ya ajira, unaweza kuangalia.
 
Ile nimeiona,ila naona wenye mamlaka ya kutangaza ajira bado wamepiga kimya.ni nani aliyetangaza coz hata ktk media hazipo hzo info.
 
Kama uyaoni TAMISEMI, ninda kwenye wizara ye Elimu utayona.
 
hebu chukua namba yangu mm ni mwenyeji huko na nimepangiwa kwetu 0757745930
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…