BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
hii hali tutadumu nayo. mpaka 2025 ,tulio karibu nae tunaanza kufungasha mwezi wa saba. tunarudi mikoani
dar wote wahamiaji hakuna mzawaAtaondoka yeye Ngosha,,,sisi wazawa hatatuacha hapahapa kibishi
Jiue maana hali hii haina ukomboJamani mlie karibu na mtukufu mniulizie kama hali hii ina koma lini au kama haina ukomo nalo mnijulishe
kweliMh!?
hakuna tabu tunakomaa nae hivyo hivyoMpaka za kilatino tutazisoma tu
Nikijiua nitakuwa nimetenda dhambi ya kuuaJiue maana hali hii haina ukombo
wajinga ndo watadanganyika. maana Kama walilishwa limbwata na kijani njanoHali hii mbona bado cha mtoto ikifika 2019 tutalegeza ili mtuchague tunawajua vizuri kwamba mna kale kaugonjwa ka kusahau
kweli
Kweli.. Basi usijiue.Nikijiua nitakuwa nimetenda dhambi ya kuua
Wewe wa hapa hapaSo ukirudi home mkono wake haufiki huko utakako enda.
Safari ikiiva nishtue twende wote mana me sina kwa kwenda nimezaliwa hapa nimekulia hapa.
siku nikija kuomba nauli jukwaani. naomba mnisaidie kwa moyo woteNi kweli upo sahihi...
[emoji23][emoji23]siku nikija kuomba nauli jukwaani. naomba mnisaidie kwa moyo wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo tujiue.
kwa nini isitokee[emoji23][emoji23]
Haitatokea,..
Dar ni nchi,dar ndiyo tanzaniahivi dar sio mkoa?................
Ukianza kuomba ni tagsiku nikija kuomba nauli jukwaani. naomba mnisaidie kwa moyo wote
Ndio tutafika nchi ya ahadi...? Iliyojaa maziwa na asali ,siagi, magimbi na urojo.mpaka 2025