Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
sawa. Ningepata kumi wanaotaka niwatag siku nikijakuomba nails. nisingekuwa NawazUkianza kuomba ni tag
kwa nini isitokee
hayaSijui,!
na matembele piaNdio tutafika nchi ya ahadi...? Iliyojaa maziwa na asali ,siagi, magimbi na urojo.
haya
bila kusahau dagaa mchelena matembele pia
akaweka na ndimu na pili pili wewe tumemalizabila kusahau dagaa mchele
na matembele pia
Pembeni yake kuna pweza kwa mbali na mchuzi wake.akaweka na ndimu na pili pili wewe tumemaliza
Pembeni yake kuna pweza kwa mbali na mchuzi wake.
dar wote wahamiaji hakuna mzawa
pweza mi sili hiyo waiachePembeni yake kuna pweza kwa mbali na mchuzi wake.
Basi utakula prons na crubspweza mi sili hiyo waiache
mimi hizi mboga nimezikuta mjini lakini kila matembele nayala mara kwa mara .. kisamvu jumapili na utumbo na ugali jaribu uone unaweza maliza ugali wa watu watatuIla metembele matamu asee kwa mpish mzuri,..na kaugali ka dona yelewii au wali na kisamvu cha nazi,..dah