Jamani mbona makalio hamyapi thamani kama uso

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,417
Reaction score
862
salaam wadau

Jamani hili swala si la ubishi ia ni ukweli halisi ulio dhahiri makalio ni kitu adimu na kiburudisho kikubwa kwa mafisi uchu,
na ujue ni tunu kwa wengine wapo kama kabati hawana kitu

ila tatizo sasa mbona hayapewi umuhimu kama uso maana utakuta makalio yana chunusi kiasi mpenzi hataki kugeuka

kisingizio ooh utanifanya mchezo mbaya,chonde chonde hebu tuyape umuhimu kama uso tuyanunulie cream za kuondoa chunusi sema wengine ni kauzu yeye hajali ni kifudi fudi utajali wewe

Kina dada tuyape umuhimu nayo yawe na bajeti yake
 
Kwani hakuna saloon za Matako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji40]
 
Hivi yale hua ni machunusi au usugu kama ya kwenye kiwiko au magoti??!! Ila kwa kiasi una point
 
Dah! Ngoja nitafute mtaji wa kufungua biashara ya kulainisha makalio, kuondoa chunusi, utangotango na mapele, [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watakuja tu
 
changamkia fursa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…