Jamani mbona tunachukuliana?

Jamani mbona tunachukuliana?

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
7,076
Reaction score
2,457
Yaani mimi kukutambulisha kwa "shemejiyo" ndiyo imekuwa nongwa? Simu, SMS, Please call Me, Please Recharge me, kila wakati? Kha!

Siyo vizuri bana, acha hizo!
 
Kwanini usimtext huyo mhusika?Maana hapa sidhani kama umeeleweka!
 
Go and face her, mweleze kuwa tabia yake ni mbaya na hutaki aendelee kuwasiliana na mumeo. Pia mumeo mweke chini, mwambie atulie, kuna kuna chochote anachokosa kwako akueleze ujue
 
face him bwana sasa hapa tuchangie nini? kwanza kwa nini ulimtambulisha huyo mtu kwa huyo GF wako, mi naona huyo nae ni kicheche tu, alimpaje simu yake?
 
Huyo anayefanya hivyo ni HE au SHE??
 
jamani,w3w3 mtata sasa shemeji cndo zao,kwani lipi jipya?
 
face him bwana sasa hapa tuchangie nini? kwanza kwa nini ulimtambulisha huyo mtu kwa huyo GF wako, mi naona huyo nae ni kicheche tu, alimpaje simu yake?
Shantel umenichekesha kweli...inaonekana uko concerned sana na ishu ya gender maana watu wamekimbilia 1 kwa 1 wakarule out kwamba ni she ila wewe unaonekana kufikiri kwamba ni mwanaume katambulishwa kwa mwanamke!
 
Muhusika naona ujumbe umemfikia.

Hata hivyo pole sana Kyabu.............
 
Yaani mimi kukutambulisha kwa "shemejiyo" ndiyo imekuwa nongwa? Simu, SMS, Please call Me, Please Recharge me, kila wakati? Kha!

Siyo vizuri bana, acha hizo!


Undugu ni kusaidiana acha na mwenzio asaidiwe na "shemeji" yake!!!!
 
Sasa nyie mnataka asifaudu matunda ya ushemeji?? Wacheni maroho za korosho nyie Watz!!
 
Jamani
sasa wewe ujumbe
Utamfikiaje mtu kama hayupo JF?
au yumo humu?
 
Urafiki wa maboga huo kukutana kikapuni
 
Baba Enock, umefufuka au umezaliwa,
Kyabushaija hajambo?
Na yeye ame RIP kwa muda au?
By the way ni nani huyo anakuchukulia bwana mzee, umeshamwambia Asprini asmshughulikie.
Hebu nenda bwana, mababu wote wa kizazi hiki wana karama za kutibu matatizo sugu na hili likiwepo.
 
Back
Top Bottom