Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
I used to be 100% tolerant when in it came to people, lakini hawa ni washenzi mno. Bado i still believe waliozaliwa Tanzania ni watanzania na wana haki zote za kitanzania awe wa rangi gani, kwangu naona kama kabila lingine. Lakini wa-hindi au ni washenzi. Hivi unajua mpaka wahindi wenzao wanaotoka Africa kama hawana hela wanawaletea dharau in most cases, sembuse sisi waafrica hao wenzao wanawaita wamasai sisi je. Deport them all ni washenzi in tu, unless watanzania wenzetu wenye asili za kiindi....acha ubaguzi wako wewe na mawazo yako potofu,yaani hizi chuki kwa wahindi zinasaidia nini?
For the first time watanzania watajua nini maana ya politics we subiri athari za muungano zianze kuwagusa.Ukweli wa mambo Tanzania tumeingizwa kwenye mkenge na kundi la Mafisadi linafikiria litajificha kwenye haya mambo ya EAC. Je tumejifunza nini kwenye nchi za Ulaya, Marekani na kwingineko? Sio kweli kwamba wauza njugu barabarani watasaidia kuinua uchumi wa Watanzania ni Watanzania wenyewe wenye jukumu la kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi ili kujikwamua katika makucha ya manyang'au.
Ukweli utabaki pale pale wanaokimbilia Tanzania ni wale wanaotaka kutumia hiyo advantage kwa manufaa yao wenyewe na hatuna sheria au nyenzo ya kuweza kuwachuja. Its all well and good at least now Chama Cha Majambazi kimejichimbia kaburi ambalo hawawezi kutoroka.
Jamani,naomba wana JF tulijadili hili kwani kwangu imekuwa kero sana,yaani hata kazi za kuoika chai,karani,kufagia wapewe wahamihaji harum ,ambao wengi sana wanatokea Kenya.Naomba Idara ya Uhamihaji ifanye kazi ipasavyo,ndio hao sasa wanaongaika sana hili wapate hati ya kupigia kura kama raia ,jamani kweli tutafika- hata wazungu wengine wankuja kufanya kazi za ukarani tu hapa bongo,na permit zinatolewa kwa zaidi ya miaka miwili,nadhani sheria sio zaidi ya miaka miwili,utakuta mhamihaji kakaa hapa mpaka kanunua shamba sehemu.
Tunaomba Idara husika itupie macho hili.Haswa kwenye hizi kampuni za kigeni hapa d,salaam.
naomba tuoa hoja.(ili cctv isijeninasa,maana ndio haohao)>
Si kweli...........na unajua komenti yako ni ya uongo! 99.9%?Watanzania wengi hawapendi purukushani katika nchi za watu. 99.9% ya Watanzania ninaowafahamu makaratasi yao yako bomba na wanaingia na kutoka bila wasiwasi wowote ule na wale ambao hawajapata makaratasi wanafuata njia halali ili kuhakikisha wanayapata makaratasi hao.
Wahamiaji haramu popote pale ni haramu. Huwezi kuwa mhamiaji haramu majuu halafu unapinga wahamiaji haramu bongo. You have no moral high ground.
Si kweli...........na unajua komenti yako ni ya uongo! 99.9%?
Inaitwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, personal im not against immigration if its in the interest of the nation in other worlds kama inamanufaa kwa jamii yetu kwanza ya kitanzania.Wahamiaji haramu popote pale ni haramu. Huwezi kuwa mhamiaji haramu majuu halafu unapinga wahamiaji haramu bongo. You have no moral high ground.
Inaitwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, personal im not against immigration if its in the interest of the nation in other worlds kama inamanufaa kwa jamii yetu kwanza ya kitanzania.
Lakini si wahamiaji wanaokuja kwa namna ya kuiba, kwa kuwa wameshaelewa viongozi wetu si wazalendo kibaya zaidi kwao ukienda wana system yao ya ku-categorize people including themselves.
Huko majuu you can achieve a lot in most nations if your the real deal nenda India au Pakistan you're fcked regardless of your education or where you obtained it, hata ikiwa kwao.
Kibaya zaidi they dont work their way up like other immigrants, wao wanaitana na kupeana deals and capitals kupitia kwenye ma-tample au community zao utadhani ardhi ya babu zao hell no.
Fact, not long ago Canada was inviting Tanzanians to apply for their citizenship upon entering their shores, the scheme was suppose to benefit 10,000 people. Just after about two thousands applications the scheme was stopped.
Want to know why, more than 95 percent of applicants where of Asians back ground to make matters worse a high percentage of those didnt speak a word of swahili. They had the news came to Tanzania, took our passport and they went.
A majority are not there for the good of the society, or just to improve their lives but to milk us at every level, i dont know about your loyalty to your people but mine is too strong.
...wewe ndio mfano mzuri sana wa wale wanaopenda kulaumu matatizo yao kwa watu wengine,system ya nchi inayoruhusu wizi na ufisadi haikujengwa na wala haisimamiwi na wahindi,wanaoilipua nchi yetu hawana rangi na wengi ni wabantu wenzako,na sio kweli wahindi wote ni wezi,hao wezi wangeacha/kupunguza wizi kama system ambayo 100% ni wabantu wenzako ingekuwa inafanya kazi bila rushwa,utafukuza wahindi wote lakini wizi na dhuluma zitaendelea 100% kama system haitafanya kazi,uko biased sana na emotions zako ndio zinafanya maamuzi ni kitu hatari sana inabidi ujirekebishe la sivyo utaishia pabaya.
Si kweli...........na unajua komenti yako ni ya uongo! 99.9%?
wewe unayo PR ya uliko?Duh! hata kujua niko wapi hujui lakini uko tayari kudai ninachoandika ni uongo! ha ha ha ha ha Nakwambia sasa Watanzania waliojilipua hapa hawafiki hata watatu katika kundi la Watanzania wanaokaribia 200 au wameshafikia namba hiyo na zaidi.. Sasa kama wewe unaona ninachoandika mimi ni uwongo basi utajiju. Mkisikia story za Watanzania walijiolipua ambazo zinaandikwa sana kwenye magazeti basi mnadhani kila Mtanzania aliye nje alijilipua. Kumbe asilimia kubwa wanafuata njia za halali na wala hawaukani Utanzania wao, lakini kwa kuwa hawa hawaandikwi magazetini kwamba Watanzania 100 wameomba PR katika nchi fulani na wamepata basi hizo story za wanaojilipua ndiyo inadhaniwa na wengi kwamba Watanzania wengi wanaoishi nje wanajilipua!
wewe unayo PR ya uliko?
kama wewe sio makini basi ujue serikali yako haitakuwa makini.
umakini unatakiwa uwanzie kwako
wewe unayo PR ya uliko?
Wakongo, Wanyarwanda, Warundi, Waethiopia, Wasomali, Wahindi wa India, Bangladesh, Pakistan, Wachina na hata wazungu wanaoishi nchini kiharamu wanazidi kuongezeka kila siku na Wizara ya mambo ya ndani haiwachukulii hatua zozote kuhusu uvunjaji wao wa sheria za nchi.
wewe unayo PR ya uliko?