Jamani mchina kanambia ananipenda, ushauri wanajamvi...

Kiongozi ili upate msaada wa ushauri wa haraka kuhusu kuzama penzini na dada yake Marehemu Bruce Lee ebu tupia neno nakupenda kwa kichina ili niweze kukufanyia evaluation kama unamudu mahubat ya kichinese.
 

Mwambie "Wu hai nii" lakini kuwa tayari kubeba mnajukumu yote hata kipigo🙂
 
Hata hao watoto hawata dumu.jibu unalo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hakikisha hamfanyii maudhi yoyote chumbani, vinginevyo tutakukuta kibogoyo baada ya meno yote kung'olewa kwa kungfu.

i like this Power! Hahahahah
 
Jamani, kama hakuna aliyejaribu kuduu na mchina asijaribu maana ndoa itavunjanjika hv akiona, mi juzi wakati alikujakuja kunitembelea yaliyonikuta bora nimsahau mpenz wangu, maana cjawai kuona aiseee
 
Rasib
ni kweli unayaelewa mapenzi? unaelewa kupenda na kupendwa?
mchina hana mapenzi ya longolongo,kama wewe ni msanii ktk mapenzi ni vyema ukasema big NO kwake,maana hao hujitoa kwa ajili ya mpenzi wake si tabu.lakini utakapoleta uswahili wakati uko ktk mapenzi utakiona cha moto,ni wepesi sana kutengeneza kesi kwa mtu ambae alimpenda na kuamuwa kumgeuka.

ushauri

kama haupo tayari,kama wewe ni mwingi wa habari,kama wewe ni mdanganyifu,kama wewe kiruka njia,nakushauri kwa macho makavu sema NO, la sivyo utakuja eleza hapa baada ya kuleta uswahili kwa mchina
 
Mwambie akufungulie Account hapahapa Bongo na Uimiliki wewe mwenyewe na iwe na pesa ya kutosha. Asije akafanya uhuni na kuondoka.
 
Wanawake wa kichina wanatupenda sana wanaume wa kiafrika kwa sababu tumejaliwa kuwa na maumbile makubwa ya sehemu zetu za siri ukilinganisha na wachina ila bado sijajua kwa nini wao wachina hawatumii dawa zao kuongeza maumbile yao.

Changanya na ZAKO!!!!
 
katika mapenzi utamaduni humata sana, je umeujua utamaduni wao na umeridhia? Ushauri bora muulize utamaduni wao ktk suala zima la mapenzi....usikute kwao mme au mke kuwa na kidumu ni kosa la kunyongwa, bt sisi wabongo ni fasheneni tu...think in wide.

kweli ndg kule hawachelewi kung'ing'iniza.
 
Najua wengine mnatania ila ndo ivyo mwenzio yameshanikuta afu ndo cjui nifanyaje? Plz
 
kuna k2 nimegundua watu wanahadaika na wageni cjui rangi au uchumi ndo unaowavutia,na kupenda umario,jmn mpz ckz pesa2.
 
jamani nimesoma na mchina ila sema sio type yangu tu ni wasichana wazuri sana kitabia ni wapole na hawataki vurugu mbaya tu pale ukikomsea huwa hana cha im sorry hasira zao ni mbaya sana. ila nakushauri kama una malengo naye take her mtafika mbali atakufundisha vitu vingi ambavyo ulikuwa huvijui.
 
kuna k2 nimegundua watu wanahadaika na wageni cjui rangi au uchumi ndo unaowavutia,na kupenda umario,jmn mpz ckz pesa2.

mtaftaji, mbona umefikiria hvy mkuu, acha mi nipende japo hutaki kunishauri
 
Atakuwa anataka umsaidie paper aendelee kula bata tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…