Jamani mchina kanambia ananipenda, ushauri wanajamvi...

mmmh, nunua 'ear plug' wana makelele kama unagonga vyuma, afu mwisho wanazimia kama stering kwenye muvi.

ha ha haaa! Kongosho bhana! Kelele zake mi ndo nazijua hasa napokuwa nae faraqhaa... Kwani we umeshaonja penza la Mchina?
 
Mwanaume mzima unauliza kama umkubalie mwanamke!UJINGA!
 

huu ni uamuzi ambao ni wewe pekee unaweza kuufanya bila kushauriwa!
 
Kama ni mdada kakwambia hiyvo, she means it! Kwahiyo angalia kama unanafasi kumoyo wako.
 
ha ha haaa! Kongosho bhana! Kelele zake mi ndo nazijua hasa napokuwa nae faraqhaa... Kwani we umeshaonja penza la Mchina?

Kumbe mmeshaingia 6x6 sasa kipi tukwambie zaidi. Hayo maneno amekwambia wakati unahemea kifuani kwake au, maana kama ni time hiyo atakuwa anahitaji mtwangio tu kwako au mashamu shamu tu. Miezi yote hiyo bila kukunwa sometiemes difficult.
 
Mapenzi ni mapenzi usijali mswahili,mchina wala mzungu.By the way ukisusa wewe mie nipe namba yake
 
Asa ushauriwe nn na ss na ww ndo ulopendwa?! Its between you and your heart to decide.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…