VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Baada ya goli la jana alilofunga dhidi ya Getafe katika ushindi wa Barcelona wa mabao 4-0,Lionel Messi amefikisha mabao 61 katika mashindano yote msimu huu.Sasa anamzidi kwa mabao mawili Christiano Ronaldo wa Madrid kwa mabao 2 La Liga.Messi ana 39,Ronaldo 37.Messi ni sooo..