ham d ibrahim
Member
- Oct 1, 2016
- 29
- 4
mi nilikuwa na shida ya kufungua account ya payza waweza nisaidiaKarbu ,lakin unataka msaada gani haswa mjumbe?
ebanaee we ni mbwa angalizo sio tusiSapoti ya nini sasa??
Ilimradi una id yako fake,rusha akili yako sepa
Onyo; kabla huja aandika fikiri kwanza milion 7 hatuna za kukuchangia
Poa karibu
Ndio kwanza nasiku moja humu sio mbaya mkinipokea kwa mikono miwili na kunipa maelekezo zaidi ya humu ASANTENI