Endelea kuota
Anamdogo wake ana duka la urembo kkoo mtaa wa livingstone hebu mtafute atakupatia maconctact uwachekuota ota tuu.Jamani mi nimefall kwa huyu actor wa filipino Coco martin, nampenda mpka namwota kila siku , natamani hata kumwona live siku moja
Sikuhizi kuna huduma ya kumvuta alie mbali..jaribu hiyoo utampata.