Jamani mie ninawashangaa global publishers wamekosa habari za kuandika?!!!

mamanalia

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2009
Posts
666
Reaction score
146
Hallo wana forum!
Nimekuwa nikifuatilia hivi karibuni mtandao wa www.globalpublisherstz.com, ukiwa na magazeti mengi ya udaku, yap it's good to give us what is taking place in d streets. Lakini hivi karibuni wanaonekana habari zao nying ni kuhusu wanawake wanaojiuza (hookers). Mie napenda kuwapa ujumbe huu kuwa wanachokifanya si kizuri kabisa (not fair at all).
Hawa jamaa inabidi watoke kidogo nje ya TZ wajionee jinsi dunia inavyobadilika kwa kasi. U can never fight against modernisation. Watu wanasafiri like it's crazy, the world is now like a village where a person from very far can move around for a just a short time.
Hawa jamaa wa global wanawadhalilisha sana dada zetu hawajui kuwa habari hizi zinafika mbali sana duniani ukizingatia kiswahili is now everywhere, mie niko asia na watu wanasoma habari zenu, it's really shame.

Labda nianze kwa kuwaelimisha nini maana na tofauti ya 'hooker' na 'prostitute', yaani muuza mapenzi na malaya. Hooker ni mwanamke au msichana anayejitafutia riziki kwa kuwaridhisha wanaume kimwili (yaani sex and the like) kwa exchange ya pesa. Wakati malaya ni mwanamke au msichana mwenye tabia ya kuruka na wanaume wengi ambaye hupenda kufanya mapenzi just for fun na mara nyingi malaya anaweza kufanya sex around kwa malipo ya nothing au just kumpa starehe kama bia n.k., malaya mara nyingi anaweza asiwe na shida yoyote yeye anataka fun tu. Pia malaya yuko katika hatari kubwa ya maambukizi kuliko hooker.
Hivyo hookers are every where in d world now na si kitu cha kushangaza. Hawa hookers wanasaidia sana wale wanaume wasio na wake au girlfriends, hususani wanafunzi na wageni waingiao hapa nchini. Sasa global publishers wanataka wageni wakija hapa TZ wachukue wake zetu au vipi? Hii biashara haiwezi kuisha na hata wao global wanajua kwa sababu wateja wapo na hawataisha, mie nimenunua hookers toka nikiwa mwanafunzi, si tu TZ hookers wako the whole africa, nimekuwa na kuwaona zambia, zimbabwe, south africa, kenya, uganda, botswana, hong kong, england na hata sweden. Rafiki zangu wako america na china wanasema wanaishi kwa kutegemea hookers. Look, a man must always demand sex as part of his life. I believe hata hao global walishanunua hookers in d time of their every day life.

Pia linalouma, wanawapiga picha hookers tu hata wakiwakuta na wanaume it seems kuna mazingira ya rushwa hapa, either mwanaume huwapa hongo na wasimpige picha na kuishia kumpiga picha msichana tu.
Nakumbuka hivi karibuni wamemtoa dada wa watu kwenye bajaji akiwa almost naked hivi kweli hii ni haki? Wanabeijing siku hizi mko wapi mbona mnadhalilishwa hivi!

Suluhishi hapa ni kuwaelimisha hawa hookers elimu ya kujinginga na ukimwi kwa kuzingatia matumizi ya condom. Ninaamini wengi huwa wanakuwa na condom, mie nimewanunua na ninawakuta wakiwa na condom zao.

Tupambane na kukuza uchumi na kuleta maisha bora na utaona hawa hookers na vibaka watapungua ila kwa hali hii hatuwezi kuwalaumu hookers, walaumu wale wapumbavu wanaoingia mikataba ya kijinga kwa manufaa yao binafsi na taifa linadidimia huku wakiendelea kulindana.

Mie i m supporting hookers sababu hawatuibii kama mafisadi na vibaka they only do a fair business.

I urge the govt to protect their dignity and not they way they are humiliating them.

Nakaribisha maoni.
 
bila kuandika hayo nadhani magazeti yao hayatanunuliwa ndo maana kwao habari ni hizo tu..upungufu wa ubunifu na mawazo finyu waliyo nayo ndo yanapelekea kuwa hivyo walivyo
 
"Sina la kusema naunga mkono hoja yako 100%"
 
Jamaa wanashobokea mambo hayo wakati boss wao ndo namba moja kumega hao hookers, ashamega mastaa kibao nashangaa jamaa hawamwandiki. Mkuu hoja yako ni nzito na kweli. maisha ni magumu sana sehemu km mbagala tandika mwananyamala kigogo km umewahi ishi huko hutalaumu ht kidogo
 
Na pia ni reflection ya nini watanzania tunapenda kusoma, easy anffunny things " if you want to hide something from african, put it in the book" tungekuwa hatusomi wasingechapisha, we need to change i suppose,
 
bila kuandika hayo nadhani magazeti yao hayatanunuliwa ndo maana kwao habari ni hizo tu..upungufu wa ubunifu na mawazo finyu waliyo nayo ndo yanapelekea kuwa hivyo walivyo

naheshimu mawazo yako ingawa naomba kutofautiana nawe kiasi...

huyo jamaa mwenye hayo "magazeti pendwa" anachofanya ni kuisoma jamii tuliyo nayo inataka habari za namna gani naye anawaletea...na kwa kweli katika huo mchakato anatengeneza pesa nyingi tu...unajua jamii yetu imejaa vijana wengi ambao kutokana na mendeleo ya teknolojia tuliyoyafikia...wengi wanavutiwa na habari zenye kuhusu mahusiano ya mapenzi (sikiliza bongo fleva...tazama tamthilia za runinga...utaelewa nnachojaribu kukisema) bahati mbaya huvuka kutoka mapenzi na kuwa uasherati.

ukisoma hayo magazeti mara nyingi mwisho wa hiyo habari utakuta anazungumzia namna hao madada wanavyohatarisha afya zao kwa kujiweka kwenye hatari ya maambukizi ya ya VVU. ikiwa ni kweli kuwa anashughulishwa na hilo au laa hiyo ni mada nyingine.

lau kama hii jamii isingekuwa inashabikia mambo hayo sidhani kama angestawi kwa kiwango alicho.

tazama hii picha (kutoka katika tovuti yao) hapa chini halafu tafuta gazeti la lake moja la leo nadhani. alichokificha kwenye gazeti amekidhihirisha kwenye tovuti...

ni mtu fulani mgumu kujua umuweke kundi gani...

Samahani ndugu mleta mada eti wewe ni Mtanzania eeeh?
 
Jamaa wanashobokea mambo hayo wakati boss wao ndo namba moja kumega hao hookers, ashamega mastaa kibao nashangaa jamaa hawamwandiki. Mkuu hoja yako ni nzito na kweli. maisha ni magumu sana sehemu km mbagala tandika mwananyamala kigogo km umewahi ishi huko hutalaumu ht kidogo

Mbona nasikia huyo bosi na mkewe wote ni walokole? Au ni zile dini za akina Kibwetere?
 
Hili suala naona kama limeegemea kwenye maslahi binafsi zaidi! Mtoa mada anadai anaishi kwa kutegemea hookers! Msisahau kwamba ni dhambi kubwa sana kufanya zinaa! Kama hamuamini kama Mungu yupo kuweni na "simple faith" aliyowahi kuizungumzia mwanasiasa mmoja kwamba: "Jamani tumwamini Mungu, tukienda kumkuta hatutakuwa na cha kupoteza, itakuwaje basi kama tusipomuamini na tukaenda kumkuta?" Msifukie vichwa vyenu kwenye mchanga wa zinaa na kusahau hukumu ijayo ya kutisha!
 
Jamaa wanashobokea mambo hayo wakati boss wao ndo namba moja kumega hao hookers, ashamega mastaa kibao nashangaa jamaa hawamwandiki. Mkuu hoja yako ni nzito na kweli. maisha ni magumu sana sehemu km mbagala tandika mwananyamala kigogo km umewahi ishi huko hutalaumu ht kidogo

aaah mie nasikia jamaa mlokole ni kweli ama ??
 
Cha kushangaza huyu jamaa anajifanya ati ni mlokole,jamani tuache kufanya masihara na mambo ya Mungu au kutumia jina la Mungu kwa unafiki,jamaa ametajirika kwa kupitia na kuandika habari za machangu na ngono bora tu awe wazi tujue ni mwenzetu alafu nasikia kawamega mamiss kibao tena nakumbuka ule mgogoro wake na mrembo fulani ulifichua mambo yake mengi tu
 
Back
Top Bottom