Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.
vidonge vipi vya hormone unavyozungumzia mkuu? ningependa kujua

Usirudie kule kule tulikotoka mkuu. Vidonge vya aina yoyote vinatakiwa kutolewa na mtaalamu wa afya na akiwa anamuona mgonjwa ama la ana vipimo vyake.

mjamzito, ama yeyote anaeumwa aende hospitali na ataelekezwa kila kitu


Kwahiyo wewe Mkuyati og unaona kwamba mimi nimevamia profession yako ya udaktari?

Wewe kama ni daktari unayejua hupaswi kushangaa kusikia kuwa kuna vidonge vya hormones kwa threatening abortion.

Lakini look here, hii tabia yako ya kuuliza maswali kwa lengo la kushow off ndio inawafanya wataalam wengine wapotezee hili jukwaa. Mtu anapojibu swali anategemea kuwa swali lililenga kumsaidia mtu sio kupotezeana muda kama ulivyofanya hapa.

Nenda kafungue vitabu usome dawa gani ya hormone anaweza kupewa mtu mwenye threatening abortion, halafu next time uwe na adabu unapokuja kwenye jukwaa hili.

Cc MziziMkavu
 
Mkuu ZeMarcopolo Usikasirike muache aende kusoma tena si unajuwa elimu haina mwisho?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana in short kosa ni lako ukiwa na preg utakiw ku2miah any local medical . Kwa jnsi ninavyo jua hyo tayari ishakuwa THRETEN ABORTION{mimba inayo tishia kutoka} amna jsi chamsingi niku wai hosptal ukafanyiwe MVA au EVACUATION method iweze tolewa b4 more effect au waweza itoa mwenyw kaku2mia MISOPROSTAL table mg 500.ila skushaur kuitoa kwanza bla ushaur zaidi. Kwa more infmtion ni pm TRUST ME AM A DOCTA.
 
Kilicho kfanya uka2mia kitunguu saumu nn!!!??? Tayari ishakuwa THREATEN ABORTION kwa prfssnal yangu ya medcal 90% mimba isha arbika dat s wY 2na ita threten abortion[mimba inayotshia kutoka] chamsngi nikwnda kituo cha afya ufanyiwe MVA method au u2mia MISOPROSTAL TABLE mg 500 +METRONIDAZOLE+AMOXYCILIN ila siku shaur utoe haraka .fanya cormfmatn kwanza!!
 
mimba imeharibika hiyo,ukiwa mjamzito usile vitu/dawa ovyo bila kumuuliza dr. wako
 

your right jentomeni!
watu wengi humu wamebufaika na ushauri wa mzizi mkavu.
_mleta mada amefuata ushauri kinyume nyume pole zake
 
Nitangulize xorry za dhat kwa hyo dada, mzizi mkavu ww kama DR tangulini. Au kwanzia lni MEDCAL 2kashaur m2 atumie local medcal kwa tatizo rahisi kama la candida albicans ulitakiwa kumshauri atumie FLUCONAZOLE au CLOTRIMAZOLE iwe cream au TABLE tatizo linge isha kirahisi...,, katk hli lawama kwako 100% wala usimfiche hyo tayari ni THRETEAN ABORTION atoe 2,
 
Mimi japo nimefuatilia mjadala mpaka mwisho ningependa tuwe tunaomba hata vyeti tunaona, on top of that ukiwa na mimba achana na remedy na dawa labda kama umeshauriwa na dokta.
 

Hapa umechanganya kidogo kati ya threatening abortion na inevitable abortion.

Threatening abortion sio lazima mimba itoke au mtu asafishwe. Inevitable abortion ambapo cervix imefunguka ndio matumaini ya survival yanakuwa hakuna na inashauriwa kusafisha.
 
Mbona MziziMkavu alikuwa wazi tu? Ndo maana alitoa na precaution kama vile, ukiwa na pressure (hasa ya kushuka) usiotumie hiyo dawa (kitunguu swaumu) kwani hushusha pressure zaidi! Na wakazidi kusema kama unatumia na una BP basi hakikisha unatumia kahawa ya kutosha immediatelly! JF ina mambo mengi, unapo soma basi changanya na zako!
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa mbona namuona kama Dokta uchwara tu! Jamaa meshaanza hadi kutoa prescription wakati hata kumuona mgonjwa na kumfanyia diagnosis ili ajiridhishe na hali yake aliyoisema, Yeye anakimbilia kutoa decision tu, arghhh....!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…