Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.
Si nimeshakuambia you are dumb? Unauliza gharama za nini na uliomba nikufundishe kiingereza. Unaona ulivyo akili yako sasa? Hayo mengine ya kuzaa sijui nini yamekujaje hapa? Unaanza kuongea mawazo yako sasa!

usinchoshe
gharama zako siziwezi? acha kuchekesha dunia wewe.Gharama zako za nini?? Sijawahi ku...na mtu aliezaa wewe. .
 
Mkuu imekuaje tena? huyu dada mbona nimeona anasema hataki mawasiliano na wewe? au haujamuelewa?

Mkuu huyu dada anataka kutumia mgongo wangu kutafuta soko,sijamtongoza ila yeye ndio mara nyingi ana comment kwangu niandike mirathi sasa na mimi nikamjibu alafu ndio anajitia yeye wa gharama wakati ni kapuku tu.alafu mkuu sijawahi kugegeda mwanamke over 25 yrs,wala mwenye mtoto ilhali huyu ni over 35,mkuu mimi kwa tabia yangu ya asili napenda jokes sana tuuu.Lakini tunapotaniana kisha wewe ukigeuka nami nakupasha haswa!
 
yalinikuta haya kw mkewangu, alitokwa damu 5days nyingi, nikampeleka utrasaund nikaambiwa mimba imeharika, mungu ni mwema, ilemimba haikuharibika, hadi navoonge inamiezi8. nakushauri tulia na pumzika sana.naamini mungu atakusaidia. usikubali kusafishwa utakapo pimwa.
 
Si nimeshakuambia you are dumb? Unauliza gharama za nini na uliomba nikufundishe kiingereza. Unaona ulivyo akili yako sasa? Hayo mengine ya kuzaa sijui nini yamekujaje hapa? Unaanza kuongea mawazo yako sasa!

usinchoshe

Kwahiyo wewe kwa akili yako kubwa unajua sijui kiingera??
 
Si nimeshakuambia you are dumb? Unauliza gharama za nini na uliomba nikufundishe kiingereza. Unaona ulivyo akili yako sasa? Hayo mengine ya kuzaa sijui nini yamekujaje hapa? Unaanza kuongea mawazo yako sasa!

usinchoshe

Sijawahi kubeba used kwa taarifa yako tena natafuta bikra kwa sasa au uzi hukuuonaga?? Haupo kabisa katika ratiba ya kichwani kwangu,wala siwezi kukutaka kimapenzi.mtu una miaka 42 na watoto juu nikupereke wapi??
 
Hizi ultrasound sometimes zinakoseaga!?
 
DR Hemu saidia, ethics na codes of conduct zenu zinasemaje? Daktari hawezi kushitakiwa kama ushauri au maelekezo yake yatamdhuru mgonjwa?

Hapa kila raia anavutia kwake!

Docta anaduty of care kwa anaowahudumia!
Kwa hapa Jf, watu wanamuamini sana Dr MziziMkavu (hata mimi namuamini) heshima hiyo inaweza kumletea matatizo MziziMkavu ikiwa hatokuwa makini ktk utowaji wake wa ushauri!

Emubu angalia!
1 Mleta mada amemuamini MziziMkavu kiasi cha kutumia dawa bila kuuliza condition aliyonayo! (negligence)

2 MziziMkavu hakuweka angalizo kama wajawazito wasitumie! (lack of warning!)

3 Madhara!

Hapo hauwezi kumlaumu mmoja na kumuacha mwengine!

Wote wawili wanahusika!

Ila itambulike MziziMkavu aliweka dawa kirohosafi na kwa ajili ya kusaidia watu!
 
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
 
Pole sana dada.Mungu akutie nguvu.next time ukiwa pregnant usitumie chochote bila ushauri wa doctor.alafu miti shamba ndio usije tumia kabisaaa!
 
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.

My God !! Pole sana my dear.Lakini tumwachie Mungu.Imetokea tu.Kuna wengine huwa hawajui kuwa ni wajawazito na wanakula vitu hatari lakini mimba hazitoki.Inabidi ufanye uchunguzi zaidi pengine tatizo ni zaidi ya kitunguu saumu
 
ahsante mpendwa
 
Asante kwa kushukuru! ilimtokea mpenzi wangu 2 times so i know how it pains.tulia mpaka upate siku kisha ujaribu tena Mungu atakupa mwingine tena atakuwa 'baby boy'

its real pain kwel,thanx alot
 
Pole sana dada,Mungu Ni mwema atakupa tena kwa wakati wake
 
Pole sana.
Kuna sababu nyingi za mimba kutoka na huenda haikusababishwa na vitunguu. Mambo mengi hutokea kwa sababu maalum. Take courage, Mungu atakupa mtoto kwa wakati.

Usijitie stress, relax, enjoy the beautiful weather na focus kwenye mambo mema. Usiruhusu negative energy kukuzunguka.
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
 
Karucee, sijawahi ku-doubt your intelligence. I was giving it time nikuelewe. Sasa ndo nimekuelewa. Imagine a pig wants to wrestle with me. Hahaha, aisee!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…