Jamani mimi hapo ndipo ninapoishi hebu nipeni mawazo yenu na max zenu mnasemaje?

imeka poa sana lakini kumbuka mjini hamna miti tena watu wamekata kwa hiyo uko national park gani?
 
Hahahaaaa kama kwetu migombani bin mndenyi! Duh!
 
uharibifu wa miti sasa tumia vitanda vya chuma hehe ehhehhe
 
sasa sijaelewa unaishi kwenye vijumba vyote au total yake ndo inafanya makazi yako? anyway its a nice place
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…