Jamani Mimi siyo Malaya, tuheshimiane

Tatizo liko kwenye ID yako.
Ina kaharufu fulani hivi amazing kinchovutia nzi wa chooni.
Upo sahihi, kuna watu wana mada, avatar na I'd zenye kuonekana ni malaya, afu akiitwa malaya anaona anatukanwa.

Ht yule anayejifanya kujutia kuwa malaya nae nilikua namuita malaya kutokana na anachoandika na kuna watu walikuwa wananipinga na kuona namkosea adabu.
 
malaya ni nani....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…