"Jamani mke wangu,huu ni ulafi!!...

Eiyer wewe dogo bana usisome sana maneno ya dada yako wa wachumba zake. umeskia eeh! kaka mzuri. shauri yako Kaizer shemejio atakujia juu.

Mhh!Dada kuwa makini maana . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
So??????. . . . . . . .Maana mpaka udenda unanitoka lol!

wewe mdogo wangu wa moyoni usinionee uchu unaskia eeh! nakupenda sana you are ma true brother. acha shemejizo wahfaidi bana.
 
Hebu nipe location baada ya miezi sita nahamia kitaa,mie bila 4 hakijaeleweka.
 
sawa ma lito bro mimi nakupenda sana mdogo wangu.

Hata mi nakupenda sana dada,lakini usinifanye nitokwe na udenda,uwe unaongelea huko bana,mwishowe nivae mask!!!!
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume ( kwa mwanamke sijui) kama kungononeka under duress,utatamani huyo mwanamke umkimbie.
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume ( kwa mwanamke sijui) kama kungononeka under duress,utatamani huyo mwanamke umkimbie.

Ebana Kongosho kapita hapa alikua anakuulizia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…