MaT2B JF-Expert Member Joined Jul 12, 2019 Posts 658 Reaction score 2,081 Feb 19, 2023 #1 Nimekuja bar hapa, kuna Barmaid kimechangamka, kiko Vizuri kwa macho. Sasa kuna jamaa amekanunulia bia, amekaa nako, mimi nimemuita huyo barmaid jamaa linageuka linaniangalia kwa Jicho baya! Barmaids ni mhudumu.
Nimekuja bar hapa, kuna Barmaid kimechangamka, kiko Vizuri kwa macho. Sasa kuna jamaa amekanunulia bia, amekaa nako, mimi nimemuita huyo barmaid jamaa linageuka linaniangalia kwa Jicho baya! Barmaids ni mhudumu.
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Feb 19, 2023 #2 Kuna mijamaa ni mishamba na mipumbavu sana..
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5,994 Reaction score 8,696 Feb 19, 2023 #3 Ni mke wangu sema nimekuja kunywa hapo tuu anapofanyia kaz
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Feb 20, 2023 #4 Halafu anageka kwa hasira ivo mezani anaona CM,CIROC,LUC,JD au HENNESSY Lazima arudishe shingo kinyonge....kama unahela ya bia 2,sio kwenda bar kubwa kuna dharau sana
Halafu anageka kwa hasira ivo mezani anaona CM,CIROC,LUC,JD au HENNESSY Lazima arudishe shingo kinyonge....kama unahela ya bia 2,sio kwenda bar kubwa kuna dharau sana