Jamani mkipewa pokeeni

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
3,542
Reaction score
290
ndg wanajamii na jamii kwa ujumla mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi nakunakila dalili za takrima za wazi kabisa so ushauri wangu ukipewa khanga pokea ukipewa fulana pokea ukipewa pesa pokea yani usikatae kabisa kwani wametubia ili wajewatukaangee kwa mafuta yetu wenyewe ili kuwakomesha takrima tuchukue na kura tusiwape na mwisho wa uchaguzi tuwazomeee hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ngoooooooooooooooo
 
thidanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
pokea mazaga, bt kura mpe mwinginewe..short and clear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…