Jamani mliosoma shule za academy, st na international schools. Nisaidieni........

Jamani mliosoma shule za academy, st na international schools. Nisaidieni........

SIMBA WA TARANGA

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
987
Reaction score
220
Msaada plz nipeni maneno yafuatayo in English.
-Chenza
-Filigisi
-Makongoro
-Kidumu Chama Cha Mapinduzi
-Ungo wa kupepetea mchele.
-Chapati
-Mishikaki....
 
Mishikaki-Blochet
Kongoro-oxtail soup
KidumuCCM-Viva CCM
Chapati- pan cake
 
Msaada plz nipeni maneno yafuatayo in English.
-Chenza= satsuma(sina uhakika..duh)
-Filigisi
-Makongoro
-Kidumu Chama Cha Mapinduzi=kataangalie maana ya neno evil/devil kwenye dictionary ya english-swahili
-Ungo wa kupepetea mchele.
-Chapati
-Mishikaki....
=barbeque

sijasoma academy,nimejipendekeza tu
 
Filigisi is chicken Gizzard
Uko juu bro, You sound like a Dictionary. Nahisi hapa JF hakuna wana chama wa magamba, mbona hawanipi slogani yao in english? kama wapo, basi wote ni akina mwanaasha.
 
Iyo ingine aka yake unaweza sema Long live CCM hii huwa inapendwa sana na Macomrades/Camarade
 
Back
Top Bottom