Kipindi cha uchaguzi tegemea lolote lile toka kwa wagombea hasa mambo yakiwa na dalili ya kutokuwa mazuri. Si unasikia wagombea wakitoa shikamoo kwa watoto wa shule waliowatoa madarasani kuja kujaza uwanja wa kampeni
Kweli nchi imekwisha yaani jamaa wameona hela zimeshindwa sasa wameona ni NYUMBA KWA NYUMBA, CHUMBA KWA CHUMBA, KITANDA KWA KITANDA, SHUKA KWA SHUKA na hii nayo kali sikuitegemea kwa Mh, kama huyu tena Dr!!!!!!!!!, ama kweli kuendeleza hii ya GOTI KWA GOTI, inamaana hakuuona huo upuuzi alioufanya mwenzake wa UBUNGO!!!!!!, WANDANGANYIKA tunapaswa TUSIDANGANYIKE!!!!!!!!!!!