First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Swali, kuna sifa ya kuanzisha uzi?
Nimeuliza hivyo kutokana na baadhi ya watu humu kuanzisha nyuzi/threads bila hata kuangalia kama kuna alieanzisha wazo kama hilo. Naombeni nitoe mifano ya nyuzi ambazo zimetolewa zenye ujumbe unaofanana kabisa kiasi kwamba mtu ungetakiwa uchangie wazo hilohilo,
Tofauti ya umri-demokrasia 10;55AM today,
Tofauti ya umri-demokrasia 10;59AM today,
which is which-vaislay 11:50AM Today,
Ni umri upi sahihi kwa mwanaume kuoa-mchongaji 03:18PM yesterday
hiyo ni mifano tu, sasa ndugu zangu hatuoni kama tunajaza tu page bila hata kuwa na jipya?
Lengo letu hasa ni kuelimika, sasa ni elimu gani tunayopata kama mwanzo mwisho kila mtu ameweka topic yake yenye kuzungumzia kitu kile kile ambacho mwingine kashakizungumzia?
Nisieleweke vibaya, nayaheshimu sana mawazo ya watu lakini tujaribu kuwa na mawazo yanayoelimisha zaidi isije onekana kuwa MMU, NI jukwaa lisilo na mambo mapya.
Asanteni.