Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Kwa wale ndugu zangu wale tuliokuwepo enzi za ujana wetu....club hizi zilivyokuwa zinavumaaa
1.fm club...pale kinondoni.....
2.club billicass....enzi zile germssion party every sunday...saa nane mchana...
3.silent inn club.....mwenge.....
4.kili time ....sinza..
5.mambo club......msasani
6.free time resort......ukonga
7.kuna club moja ilikuwepo mtaa wa i4..temeke na nyingine ilikuwa mtoni...mnaweza kutukumushaa
8.kuna club moja ilikuwepo kimara baruti....
Pia mnaweza kutukumbusha...baadhi ya club nyingine......