Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
ha ha sunday billicanas nje jua linawaka watoto wanaruka debe vitoto vinatoka na mabaibui mifuko wanaiweka kwa yule dada wa chooni kulinda mfuko ilikuwa jero.Na wale wakaka wa kariakoo wavaa nguo mpya za dukani na maviatu makubwaaaa kutangaza biasharaaa.
Umesahau - Igongwe club, sinza.. enzi hizo madent na maprof wa chuo hadi kuchwele..
yani hapa mimi nilikuwa mdogo sana..enzi hizo niko form one watoto wa azania ilikuwa ndo kiwanja chetu...mimi nilikuwa mwanachama pale wale majaa watatu wa kariakoo nawakumbuka sana tena....yule dada baada ya bills kufugwa nae akapotea yule dada namkumbuka sana alikujaga bills na kundi lao liliitwa tmk unit..badae akaja akapewa kazi chooni ya kuficha vitu vya watu..na nguo...unamkubuka baunsa alikuwa akiitwa terminator...
ha ha same here wewe ndo cash money au hbc yule dada alirudi tena miaka 3 nyuma nilimuona kazini bills mpaka nikamshangaa why kazi moja miaka yotee??terminator simkumbuki namkumbuka mc HK na ile style ya kukatisha mziki madogo kutambulisha nyimgo zao offcourse enzi zile watoto wa kariakoo,ilala na upanga kwa sana ndo lilikuwa disko letu