Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Akina Babu Kulikombe, wamepotelea wapi? Wanaofahamu watujuze jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe!!!walimdolewa kimizengwe, ukienda mza utawakuta, wengine wanapiga kitabu
mzee nambie babu mkombe yupo maeneo yepi nimtafute? nyakato, ghana au wapi?Dialo aliwapiga ban baada ya kwenda kufanya tamasha tabora bila ruhusa.
Babumkombe yeye anaendelea na ufundi wake wa masofa hapa mwanza.
Chiko-yeye anapiga shughuli za u mc katika maharusi na sherehe mbalimbali.
Kafuku kaulananga,yeye ameajiriwa barmedaz na anatangaza kipindi cha taarabu.ova
DAH UMENIKUMBUSHA COZ BABU MKOMBE YUKO JUU SANA,ANAJUA KUIGIZA, wenzie nadhani hawakuwa wabunifu zaidi ya kuigana tu na OK
mzee nambie babu mkombe yupo maeneo yepi nimtafute? nyakato, ghana au wapi?