Jamani mnisaidie mwenzenu!

Jamani mnisaidie mwenzenu!

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
153
Reaction score
81
Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
 
waulize kwanini wanakumwaga...lazima kutakuwa na tatizo somewhere
 
Nenda kwa mganga-sumbawanga (kama ni mademu ndo wanaokusumbua) , Huo ndo ushauri pekee.
Maana kuna tofauti kubwa sana kati ya DEMU na MKE, Igekuwa ni mke basi nigekushauri vingine. Pole sana
.
 
Ogea machozi ya sisimizi!

Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
 
Chukua shombo la samaki weka kwenye sufuria chemsha kisha funika weka chini ya kitanda kwa muda wa wiki moja baada ya muda huo kupita chukua kikombe uwe unakunywa asubuhi na jioni.
 
Tatizo ni kwamba unakutana na wanawake makini, Mijitu inayoendekeza U-handsome boy hupigwa chini na wanawake makini
 
Duh UHB tena umetoka wapi hapo
Una tatizo either unajipenda mwenyewe sana na kwa kuwa ushaambiwa wewe ni handsome ndio balaa kabisa
Madem unaowapata unaishia kujisifia mwenyewe kuwa wewe ni HB badala ya kuwaonyesha upendo
 
am speechless nisiku mbwamwita25 bure.....
 
mwanaume hajisifii husifiwa
 
Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
Au mchafu? unawachefua roho zao? ebu tafuta japo rafiki yako mwambie aulize kwa hao wanaokukimbia manake sio rahisi kukimbiwa kama kweli hizo sifa ulotaja ndio unazo ukitoa u HB......
 
......Angalizo, hii thread ya Angomwile inaashiria uwezo na fikra za Angomwile yeye binafsi, na si mtazamo na Tabia za wanyakyusa wote......
 
Nenda kwa mganga-sumbawanga (kama ni mademu ndo wanaokusumbua) , Huo ndo ushauri pekee.
Maana kuna tofauti kubwa sana kati ya DEMU na MKE, Igekuwa ni mke basi nigekushauri vingine. Pole sana
.

Huku ndio umeambiwa waganga wa mademu wanapatikana???
 
Chukua shombo la samaki weka kwenye sufuria chemsha kisha funika weka chini ya kitanda kwa muda wa wiki moja baada ya muda huo kupita chukua kikombe uwe unakunywa asubuhi na jioni.
Mweeeeeeee!wajamen............!
 
Duh UHB tena umetoka wapi hapo
Una tatizo either unajipenda mwenyewe sana na kwa kuwa ushaambiwa wewe ni handsome ndio balaa kabisa
Madem unaowapata unaishia kujisifia mwenyewe kuwa wewe ni HB badala ya kuwaonyesha upendo

mkuu huyu anatumia maneno zaidi ya matendo
... salama mkuu
 
Back
Top Bottom