Kazi Kubwa Ya MOYO Ni Kusambaza Damu Mwilini Na Wala Haujawahi Kujihusisha Na Mambo Ya Upendo/Mapenzi.
Acha Kuupa Moyo Lawama Kwenye Mambo Yanayohusiana Na Akili.
mpaka kusahau inachukua muda kidogoMoyo wako una uwezo wa kuhifadhi mtu?
Anatabia nzuri tu ila sema sijamkubali kutoka moyoniHuyo ambaye humpendi, ana kitu gan ambcho wewe unaona hakifai toka kwake?
Za asubuhi kisugar..unataka kubook mapema???Ni bora umwambie ukweli.ingawa ataumia ila mapenzi ya ku pretend hayafai. Na au umepata mwengine?
Ki ukweli the way she is sijaridhika naye,unajua KISUKARI kuna mambo fulani unayataka kutoka kwa mwanamke awe nayo sasa naona mitazamo hatuendani,japo ni mzuri kiumbo na anatamanisha kingono but mimi nilimtamani tu sio kumpenda japo kuna ambaye nampenda ila tatizo naye kaolewaNi bora umwambie ukweli.ingawa ataumia ila mapenzi ya ku pretend hayafai. Na au umepata mwengine?
brother watu wangapi upo nao kwenye mahusiano kwa tamaa tu za kimwili,hii inatokeaSasa unakaaje na mtu mda wote huo kama humpendi? Nyie ndo wale mnaowaumiza watoto wa watu afu anakuja kukata tamaa na kuona wanaume wote ni wale wale.
Kuwa muwazi sio kupotezeana mda
Unaweza pia kuulazimisha moyo ukampenda.![emoji12] [emoji12]Ki ukweli the way she is sijaridhika naye,unajua KISUKARI kuna mambo fulani unayataka kutoka kwa mwanamke awe nayo sasa naona mitazamo hatuendani,japo ni mzuri kiumbo na anatamanisha kingono but mimi nilimtamani tu sio kumpenda japo kuna ambaye nampenda ila tatizo naye kaolewa
Kwa hiyo miaka yote minne unamkojolea tu mtoto wa watu, kisha leo unasema kuwa hayuko moyoni, kwa hiyo inamana yuko duduni tu?Mkuu tatizo nimechewa kumwambia maana nimekaa naye muda mrefu aisee karibu miaka 4
Maskini na kwao yuko peke yake sipati picha akijua nilikuwa nampotezea mudaMwambie tu ajue kuliko kuendelea kumpotezea mda. Ila jaman du. Moyo wa mtu Ni box khaaa
Mkuu miaka minne yote ulikuwa nae wa nn kama moyo ulikuwa hautaki..Au uliamini iko siku utakuja kumpenda?Mkuu tatizo nimechewa kumwambia maana nimekaa naye muda mrefu aisee karibu miaka 4
du braza nitajidanganyaUnaweza pia kuulazimisha moyo ukampenda.![emoji12] [emoji12]
kawaida bro hata ww naamini ushawahi ku date na mtu ambaye unamtamani sio kumpendaKwa hiyo miaka yote minne unamkojolea tu mtoto wa watu, kisha leo unasema kuwa hayuko moyoni, kwa hiyo inamana yuko duduni tu?
Mkuu nilikuwa namtafutia chanjo lakini sijakipata bado mpaka inafikia muda naomba ushauri kwenuMkuu miaka minne yote ulikuwa nae wa nn kama moyo ulikuwa hautaki..Au uliamini iko siku utakuja kumpenda?